STEVE NYERERE AMUONYA WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yhq4i4w-bA0LV4BJ31rwUKTjwW0HXR1hzkf-t28qlMZJm4Gq*ZC6B13F5fKoc9AqRLvqpIAPnbfYuuZE44F47Ck/wem.jpg?width=650)
Stori: Shani Ramadhani MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi. Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’. Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 May
Wema: Ray, Steve Nyerere Wanafiki Wakubwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kusema kwamba, wasanii wenzake Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ ni wanafiki wakubwa baada ya kumtosa kwenye Pati ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni jijini Mwanza.
Akizungumza na paparazi wa GPL, Wema alisema alikubaliana na mastaa hao kutoenda kwenye Shoo ya Zari All White Party iliyofanyika Mlimani City jijini Dar badala yake waongozane naye jijini Mwanza lakini wakamgeuka.
“Sitaki...
9 years ago
Bongo Movies28 Aug
Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo
Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.
Chanzo: cloudsfm.com
10 years ago
Bongo Movies12 Aug
Picha: Wema Sepetu na Steve Nyerere Wakiwa Ikulu ya Dodoma na Rais Kikwete
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wabongo movies, Wema Sepetu na Steve Nyerere zilizo trend siku ya leo kwenye mtandao wa instagram wakiwa na Rais Kitwete Ikulu ndogo, Dodoma.
“Wakati nyie mnaongea upuuzi… Yangu yaninyookea….. Alhamdulillah… Wa moja havai mbili… Abadan asilan…. Earlier today… Ikulu… Dodoma… Thank u Mr.President”-Wema aliandika hayo kwenye moja ya picha hizo.
Kwa maneno hayo, inawezekana mastaa hawa wakawa wamepata shavu kutoka kwa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Steve Nyerere: Wamenikomoa
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Steve Nyerere Alishwa Sumu
STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa ripoti kamili.
Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.
“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Steve Nyerere: Mimi si shoga
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amekerwa na alichosema uzushi dhidi yake kwamba ni shoga. Kupitia ukurasa wake wa facebook, msanii huyo alisema anachukizwa na kasumba ya baadhi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDKe6I-CwQOY1GMcj7wss3ddXq*S-AM5hnd8lgA-okwpA3gVDpX6SH4-IEM4VEo3mI1PZpjdFxpiI7l0ol*TBGuT/steven.jpg)
STEVE NYERERE AFUTWA UANACHAMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RkELY1eQCtg0vgVnAVbxN7qhC0PKBUjUKgj3FFg8AmlVpBndSOKflooCwUI-9PqRW6MsecV69KZP33I65EwWDs/steven.jpg?width=550)
STEVE NYERERE AKOMBWA IPAD
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkVT8NUzNmEnwoMieUIWix-ZckMbASZXUs4tLQjrZ5Noqi8bm5eZlgr96ju2xbGMRP0mDdvrDYGzU1SQRAKYyYS/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI