Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema: Ray, Steve Nyerere Wanafiki Wakubwa

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kusema kwamba, wasanii wenzake Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ ni wanafiki wakubwa baada ya kumtosa kwenye Pati ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni jijini Mwanza.

Akizungumza na paparazi wa GPL, Wema alisema alikubaliana na mastaa hao kutoenda kwenye Shoo ya Zari All White Party iliyofanyika Mlimani City jijini Dar badala yake waongozane naye jijini Mwanza lakini wakamgeuka.

“Sitaki...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

‘RAY, STEVE NYERERE WANAFIKI WAKUBWA'

Staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Musa Mateja
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kusema kwamba, wasanii wenzake Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ ni wanafiki wakubwa baada ya kumtosa kwenye Pati ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni jijini Mwanza. Staa wa filamu Bongo,Steven Mengere ‘Steve Nyerere’....

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE, HEBU ACHANA NA ZILE ZA RAY

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. KUWA kiongozi wa ngazi yoyote ile, ni changamoto kubwa sana. Hata familia nyingi zinazoyumba, iwe kiuchumi au kimaadili, zinachangiwa kwa kiwango kikubwa sana na kukosa kiongozi imara, awe baba, mama au hata shangazi na mjomba. Baba ambaye hana msimamo, hata kama ana fedha ataifanya familia yake ikose kuaminika, idharaulike. Baba akiwa mlevi kupindukia, akilewa chakari na kuanza kutukana...

 

9 years ago

GPL

MH! ETI RAY, STEVE NYERERE NAO MAPEDESHEE

MIAKA michache iliyopita, nilipata kuwa mdau mkubwa wa muziki wa dansi, nikipatikana katika karibu kumbi zote ambazo bendi kubwa zilifanya mambo yao jijini Dar es Salaam. Huko, nilikutana na watu wengine waliokuwa na ‘wazimu’ zaidi kuliko mimi. Hawa, waliitwa majina ya kutukuzwa na wanamuziki, wengi wao wakitajwa kwenye nyimbo. Ninamkumbuka ‘mshkaji’ Fikiri Madinda, Papaa Chosta, Hussein Makabureta,...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMUONYA WEMA

Stori: Shani Ramadhani MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi. Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’. Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato.…
...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo

Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.

Chanzo: cloudsfm.com
 

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu na Steve Nyerere Wakiwa Ikulu ya Dodoma na Rais Kikwete

Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wabongo movies, Wema Sepetu na Steve Nyerere zilizo trend siku ya leo kwenye mtandao wa instagram wakiwa na Rais Kitwete Ikulu ndogo, Dodoma.

“Wakati nyie mnaongea upuuzi… Yangu yaninyookea….. Alhamdulillah… Wa moja havai mbili… Abadan asilan…. Earlier today… Ikulu… Dodoma… Thank u Mr.President”-Wema aliandika hayo kwenye moja ya picha hizo.

Kwa maneno hayo, inawezekana mastaa hawa wakawa wamepata shavu kutoka kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

9 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Alishwa Sumu

STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani  linakupa ripoti kamili.

Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.

“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

steve nyerere atangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la wapiga kura, ili wasikose kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano maalum wa kutangaza nia na kuhamasisha watu kujiandikisha, alisema kujiandikisha ni haki ya kila Mtanzania hivyo kwa vijana na wazee hakuna sababu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani