STEVE NYERERE, BATULI HAPATOSHI
![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwk2SO0wEl2lczDUB8-R17d7odd*4lERDpPVd*RsZ4AF7jF4zGnI-JHSckkKvxvxO9yyzfX5lQqF3Cspf58MsJjV/steve.jpg?width=650)
Stori: Gabriel Ng’osha Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ na mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ wameingia kwenye bifu zito baada ya kutofautiana katika makubaliano ya kikazi. Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo makini, hivi karibuni wawili hao waliingia kwenye mabishano wakati Steve Nyerere alipokuwa akiandaa filamu yake mpya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*oFDbJT4cb9RYMOjvR3o3ih76f4Kg3n0L5MCUSw-y7CIfR7Jh2d3IV3IXpUkHD2YVZGxitf3sqly1PDcW9vFZEh/batuli.jpg)
HATIMAYE BATULI, STEVE NYERERE WAPATANA
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Steve Nyerere: Wamenikomoa
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Steve Nyerere: Mimi si shoga
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amekerwa na alichosema uzushi dhidi yake kwamba ni shoga. Kupitia ukurasa wake wa facebook, msanii huyo alisema anachukizwa na kasumba ya baadhi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkVT8NUzNmEnwoMieUIWix-ZckMbASZXUs4tLQjrZ5Noqi8bm5eZlgr96ju2xbGMRP0mDdvrDYGzU1SQRAKYyYS/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j31ozEYYytU/VZEErgnwL0I/AAAAAAAHlhs/iscjbxdxwxY/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
steve nyerere atangaza nia
![](http://4.bp.blogspot.com/-j31ozEYYytU/VZEErgnwL0I/AAAAAAAHlhs/iscjbxdxwxY/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Steve Nyerere Alishwa Sumu
STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa ripoti kamili.
Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.
“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi*Z*kg7xKE*0aFTNVMfLLJyYoYDDsxp2XC9QLFutwjST06qAo*jR7xyAFADoLpuByf57x5180Ntw9oxeyaH-njn/steven.jpg)
STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDKe6I-CwQOY1GMcj7wss3ddXq*S-AM5hnd8lgA-okwpA3gVDpX6SH4-IEM4VEo3mI1PZpjdFxpiI7l0ol*TBGuT/steven.jpg)
STEVE NYERERE AFUTWA UANACHAMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RkELY1eQCtg0vgVnAVbxN7qhC0PKBUjUKgj3FFg8AmlVpBndSOKflooCwUI-9PqRW6MsecV69KZP33I65EwWDs/steven.jpg?width=550)
STEVE NYERERE AKOMBWA IPAD