MAGUFULI AWAUMBUA MASTAA!
![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AwC652inw8*gVSrUv7HT8vRzZsexNuZlGr-OzSzWkuwF5-v-Du0UvkBse8s9Tgr8EdxC0jkaZtFzGeWQfv1rere/FRONTRISASI.gif?width=650)
Mwandishi Wetu KUFUATIA kuwepo kwa makundi yaliyotokana na watangaza nia 42 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakiwania nafasi ya urais, mastaa waliokuwemo ndani ya makundi hayo wameumbuka kufuatia ushindi wa John Pombe Magufuli, Risasi Mchanganyiko lina ‘full’ stori. Soma zaidi===>http://bit.ly/1SmlWO2 Â
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6Yl8rz*ye9N8WMXFSLGPOfxYHImu-7mQofxlbQhDvrix722EAyyiK06KXGJiANinGteyLZlLzAxIFU3yAwCSXUsO/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Jussa awaumbua mawaziri
MJUMBE wa kamati namba sita, Ismail Jussa, amewaumbua mawaziri watatu wa Zanzibar, na wajumbe wa Bunge Maalumu, kuwa ni wanafiki walioshindwa kusimamia msimamo wao juu ya muundo wa muungano. Alisema...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Mbowe awaumbua wanafiki CCM
MJUMBE wa Bunge Maalumu, Freeman Mbowe, amewaumbua wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa wengi wao ni wanafiki katika kuchangia mijadala na hoja bungeni. Mbowe alisema kutokana na unafiki huo,...
9 years ago
Bongo Movies27 Dec
Mastaa: Magufuli Ametuua kwa Njaa
![Baby Madaha](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/madaha-1024x1024.jpg)
Baby Madaha
Jambo limezua jambo! Kufuatia tumbuatumbua inayoendeshwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa vigogo waliokuwa wanawapa jeuri mastaa wa kike mjini, wenyewe wameibuka na kusema kiongozi huyo ‘amewaua’ kwa njaa.
Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa mastaa wengi wa kike wanalalamika njaa na ndiyo maana tangu alipoingia madarakani Rais Magufuli na kuanza kuwaondoa mafisadi, wasanii hao wamekuwa hawaonekani viwanja kama zamani kwa sababu hawana mkwanja.
“Yaani wasanii wa kike...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME