STEVE NYERERE, SANDRA WAGANDANA KAMA RUBA
![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS3Ht48tPv0pZhQCnB*s8R5hnosO*LixDEi-4fXuBaTABg2aqz4K*DEaSSHrTKjmEwHrLyMIPd3y7DKU6OP2jaIk/SANDRA.jpg?width=650)
Stori: Richard Bukos MAHABA? Prezidaa wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na mwigizaji mwenzake, Salama Salmin ‘Sandra’ wamezua minong’ono kufuatia kitendo chao cha kugandana kama ruba ukumbini. Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye uzinduzi wa filamu tatu za Kiswahili ‘Swahiliwood’ kwenye Ukumbi wa Century Cinemax, Oysterbay jijini Dar wikiendi iliyopita. Katika tukio...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQBJAQjv5rn63GtxRgWauIrrTx*MqeoQ3igEtlLp1WgUn1gS8fqyGO8T-g68c627DkOlpqpcKPYgSRe4qDpsZj6/stevenyerere.jpg)
SANDRA AMPA TANO STEVE NYERERE
11 years ago
GPLKAMA NINGEKUWA STEVE NYERERE NINGE…
10 years ago
Bongo Movies21 May
Wastara: Siwahi Kuona Kiongozi Kama Steve Nyerere
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amempongeza na kumsifu aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Bongo Movies Unity, Steven Mengere 'Stive Nyerere' kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi anayeweka wajali na kuwafikiria anaowaongoza.
Wastara alieleza hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya Steve Nyerere akiwa kwenye kaburi la marehemu Adam Kumbiana.
“Hongera kaka kwa kikubwa ulichokifanya maneno yasikuludishe nyuma ukiona unasemwa sana ujue umewashika sijawahi kuona kiongizi wa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
CCM inang’ang’ania madaraka kama ruba
NITANGULIE kueleza kuwa ‘ruba’, pia ‘mwata’ ni mdudu wa maji baridi anayeng’ata na kujishikamanisha na mwili wa kiumbe kama mtu au mnyama na kufyonza damu. Ndivyo kilivyo Chama Cha Mapinduzi...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Steve Nyerere: Wamenikomoa
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j31ozEYYytU/VZEErgnwL0I/AAAAAAAHlhs/iscjbxdxwxY/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
steve nyerere atangaza nia
![](http://4.bp.blogspot.com/-j31ozEYYytU/VZEErgnwL0I/AAAAAAAHlhs/iscjbxdxwxY/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6Yl8rz*ye9N8WMXFSLGPOfxYHImu-7mQofxlbQhDvrix722EAyyiK06KXGJiANinGteyLZlLzAxIFU3yAwCSXUsO/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yhq4i4w-bA0LV4BJ31rwUKTjwW0HXR1hzkf-t28qlMZJm4Gq*ZC6B13F5fKoc9AqRLvqpIAPnbfYuuZE44F47Ck/wem.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AMUONYA WEMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkVT8NUzNmEnwoMieUIWix-ZckMbASZXUs4tLQjrZ5Noqi8bm5eZlgr96ju2xbGMRP0mDdvrDYGzU1SQRAKYyYS/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI