Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM inang’ang’ania madaraka kama ruba

NITANGULIE kueleza kuwa ‘ruba’, pia ‘mwata’ ni mdudu wa maji baridi  anayeng’ata na kujishikamanisha na mwili wa kiumbe kama mtu au mnyama na kufyonza damu. Ndivyo kilivyo Chama Cha Mapinduzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

11 years ago

Habarileo

Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili

WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri ya CCM kung’ang’ania Serikali mbili kikatiba

>Katika maisha ya kawaida, binadamu ana msimamo wake na hata uamuzi  asiopenda ubadilike.

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa atoboa siri ya CCM kung’ang’ania serikali mbili

Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa ametoboa siri ya chama hicho kung’ang’ania Muungano serikali mbili akisema hiyo ndiyo sera yake pekee iliyopitishwa na wanachama wake wote kwa kura ya maoni.

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim LipumbaPAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’ang’ania kiti

LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...

 

11 years ago

GPL

JACK DUSTAN ANG’ANG’ANIA KUZAA NA MZUNGU

Stori: IMELDA MTEMA
Mwanadada Jacqueline Dustan ambaye ni msanii wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus season II, ameonekana kung’ang’ania kuzaa na Mzungu kufuatia maelezo yake kwamba harudi Bongo mpaka atundikwe mimba na mtasha. Jacqueline Dustan. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu akiwa nchini Thailand, Jack alisema uwepo wake nchini humo kwa muda mrefu anajilengesha kwa mwanaume wa...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE, SANDRA WAGANDANA KAMA RUBA

Stori: Richard Bukos
MAHABA? Prezidaa wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na mwigizaji mwenzake, Salama Salmin ‘Sandra’ wamezua minong’ono kufuatia kitendo chao cha kugandana kama ruba ukumbini. Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye uzinduzi wa filamu tatu za Kiswahili ‘Swahiliwood’ kwenye Ukumbi wa Century Cinemax, Oysterbay jijini Dar wikiendi iliyopita. Katika tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani