Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msekwa atoboa siri ya CCM kung’ang’ania serikali mbili

Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa ametoboa siri ya chama hicho kung’ang’ania Muungano serikali mbili akisema hiyo ndiyo sera yake pekee iliyopitishwa na wanachama wake wote kwa kura ya maoni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Siri ya CCM kung’ang’ania Serikali mbili kikatiba

>Katika maisha ya kawaida, binadamu ana msimamo wake na hata uamuzi  asiopenda ubadilike.

 

11 years ago

Habarileo

Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili

WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa atoboa siri ya Muungano

>Wiki mbili kabla ya Tanzania kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa ametoboa siri ya Muungano huo akisema “mchakato wa kuundwa kwake ulifanywa kwa siri na haraka sana,” kutokana na upepo wa kisiasa na usalama wa kipindi hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu mbalimbali za viongozi wa Afrika kung’ang’ania madarakani

Viongozi wakuu wa nchi za Afrika wanapotaka kuendelea kukaa madarakani zaidi ya vipindi vilivyokubaliwa kikatiba, hutumia mbinu mbalimbali. Baadhi hutumia wananchi waanze kufanya ushawishi katiba zirekebishwe ili viongozi husika waendelee; wengine hutumia kisingizio cha sensa, kucheza na tafsiri ya katiba na baadhi hutumia mbinu ya kuchelewesha uandikishaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

11 years ago

Mwananchi

KNCU yazidi kuing’ang’ania Serikali

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa wa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimezidi kuibana Serikali kikisisitiza kuwa kinastahili kulipwa Sh255.1 milioni, kama fidia ya mdodoro wa uchumi wa mwaka 2008.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ya Mapinduzi yamng’ang’ania Raza

>Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Omar Yussuf Mzee amesema kazi ya kupitia madeni ya kodi ya gawio la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) anayodaiwa Mfanyabiasha Mohamed Raza kwa muda wa miaka 16 itachukua miezi mitatu ili kubaini kiwango halisi anachodaiwa kupitia Kampuni ya Huduma katika Viwanja vya Ndege (ZAT).

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM inang’ang’ania madaraka kama ruba

NITANGULIE kueleza kuwa ‘ruba’, pia ‘mwata’ ni mdudu wa maji baridi  anayeng’ata na kujishikamanisha na mwili wa kiumbe kama mtu au mnyama na kufyonza damu. Ndivyo kilivyo Chama Cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani