Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KNCU yazidi kuing’ang’ania Serikali

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa wa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimezidi kuibana Serikali kikisisitiza kuwa kinastahili kulipwa Sh255.1 milioni, kama fidia ya mdodoro wa uchumi wa mwaka 2008.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali ya Mapinduzi yamng’ang’ania Raza

>Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Omar Yussuf Mzee amesema kazi ya kupitia madeni ya kodi ya gawio la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) anayodaiwa Mfanyabiasha Mohamed Raza kwa muda wa miaka 16 itachukua miezi mitatu ili kubaini kiwango halisi anachodaiwa kupitia Kampuni ya Huduma katika Viwanja vya Ndege (ZAT).

 

11 years ago

Habarileo

Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili

WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri ya CCM kung’ang’ania Serikali mbili kikatiba

>Katika maisha ya kawaida, binadamu ana msimamo wake na hata uamuzi  asiopenda ubadilike.

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa atoboa siri ya CCM kung’ang’ania serikali mbili

Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa ametoboa siri ya chama hicho kung’ang’ania Muungano serikali mbili akisema hiyo ndiyo sera yake pekee iliyopitishwa na wanachama wake wote kwa kura ya maoni.

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim LipumbaPAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’ang’ania kiti

LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani