Siri ya CCM kung’ang’ania Serikali mbili kikatiba
>Katika maisha ya kawaida, binadamu ana msimamo wake na hata uamuzi asiopenda ubadilike.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Msekwa atoboa siri ya CCM kung’ang’ania serikali mbili
11 years ago
Habarileo09 Apr
Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili
WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.
10 years ago
Mwananchi06 May
Mbinu mbalimbali za viongozi wa Afrika kung’ang’ania madarakani
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-
MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Serikali ya Mapinduzi yamng’ang’ania Raza
11 years ago
Mwananchi01 Feb
KNCU yazidi kuing’ang’ania Serikali
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
CCM inang’ang’ania madaraka kama ruba
NITANGULIE kueleza kuwa ‘ruba’, pia ‘mwata’ ni mdudu wa maji baridi anayeng’ata na kujishikamanisha na mwili wa kiumbe kama mtu au mnyama na kufyonza damu. Ndivyo kilivyo Chama Cha Mapinduzi...
9 years ago
Habarileo20 Dec
Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.