Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raila Odinga ampongeza Dkt Magufuli, amshauri Lowassa aende mahakamani kama hajaridhika

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Tanzania.Akiongea katika mahojiano na BBC, Mhe Odinga amemshauri mgombea wa upinzani Mhe. Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na kushindwa na Rais Uhuru Kenyatta.Ameeleza pia matumaini yake kwamba Dkt. Magufuli atahakikisha kuendelea kwa uhusiano mzuri uliopo katia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Odinga ampongeza Magufuli, amshauri Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania. Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa.

 

9 years ago

Vijimambo

Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa


Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may...

 

5 years ago

BBCSwahili

Raila Odinga afanyiwa upasuaji baada ya kuugua mgongo, Kaka wa Raila Odinga athibitisha

Kaka na masemaji wa familia Dkt Oburu Odinga azungumza na BBC kuhusu afya ya Raila Odinga.

 

10 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA, NCHINI KENYA

Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mfiwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga wakiongozana kuelekea sehemu maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.…

 

10 years ago

Michuzi

DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA,NCHINI KENYA

Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli yupo nchini Kenya akiiwakilisha Tanzania kwenye mazishi ya mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga aitwaye Fidel Odinga aliefariki mwishoni mwa wiki iliyopita,yanayofanyika huko Bondo, Kisumu, Kenya. Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mfiwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga wakiongozana kuelekea sehemu maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

GPL

RAIS UHURU KENYATTA AHANI MSIBA WA MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL ODINGA

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisaini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga aliyefariki jana. Kulia ni mke wa Odinga, Ida Odinga. Rais Uhuru Kenyatta akimpa pole aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga huko Karen, Kenya.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kiongozi wa upinzani wa Kenya Raila Odinga amesema Rais Magufuli ''anashauriwa vibaya''

Baada ya Kiongozi wa Upinzani Kenya kusema rais wa Tanzania John Magufuli anashauriwa vibaya, Mbunge wa CCM Job Lusinde Kibabaje amesesema ushauri wa rais Unawafaa Watanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Raila Odinga atandikwa bakora



Mzee Mdzombo anasemekana kutokuwa timamu kiakiliKiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amemsamehe mzee aliyempiga bakora katika mkutano wa hadhara wa kisiasa katika jimbo la Kwale Pwani ya Kenya,Mwanamume huyo, Lengo Mdzombo, anayefanya kibarua katika shamba moja Kwale, alikamatwa Jumanne na kufikishwa mahakamani.
Alishitakiwa kwa kosa la kumshambulia kiongozi huyo pamoja na gavana wa Kwale.Hali ya taharuki ilitanda katika mkutano wa hadhara Jumatatu wiki hii baada ya Mdzombo kwenda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwana wa Raila Odinga afariki

Fidel Odinga mwana wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga amepatikana akiwa amefariki nyumbani kwake huko Karen.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani