Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]
9 years ago
Bongo502 Oct
Mtu Chee (Stamina,Country Boy na Young Dee) waingia studio
Rappers wanaounda kundi la Mtu Chee, Stamina, Country Boy na Young Dee ameingia studio za Kiri Records kuandaa kazi mpya za kundi hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram, Stamina alipost picha na kuandika: Current situation,,,,right now,,,ndani ya Kirirecordstz tupo na mtu mbayaaaa Rashdontz project mpyaaaaaaa ya MTU CHEE,MTU NOMA,MTU 3,yale majibu ya maswali yenu sasa yako […]
10 years ago
GPLYOUNG KILLER, BARNABA NA STAMINA WALIVYOTINGISHA DAR LIVE JANA
Barnaba akifungua burudani. Hapa akicheza na kuimba na moja wa mashabiki zake. Young Killer akikamua moja kati ya…
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Dee aeleza kwanini alijiondoa ‘Mtu Chee’
Young Dee amesema aliamua kuachana na kundi la Mtu Chee baada ya kuona halina malengo ya mbele. Young Dee ameimbia 255 ya XXL kuwa ameshauriwa na watu wake wa karibu kuachana na project za kundi hilo na kusimama yeye mwenyewe. “Haina u-serous katika kazi,” alisema. “Mfumo wake wa kazi ni ule wa mizuka, watu ambao […]
11 years ago
GPL25 Feb
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA YOUNG KILLER
Mwana Hip hop Young Killer 'Handsome asiyekuwa na matunzo' katika 'Exclusive Interview' GLOBAL TV ONLINE kwenye kipindi cha mtu kati! Kwa video zaidi za GLOBAL TV ONLINE, INGIA HAPA:Â GTV ONLINE
11 years ago
Michuzi18 Feb
9 years ago
Bongo521 Oct
Uliokuwa uongozi wa Young Dee watoa ofa ya video moja kwa kundi alilojitoa la Mtu Chee
Baada ya uongozi wa Million Dollar Boys (MDB) uliokuwa ukimsimamia Young Dee kusitisha kufanya kazi na rapper huyo, CEO wa kampuni hiyo na studio za Authentic, Millian ametoa ofa ya video kwa kundi la Mtu Chee ambalo Young Dee pia amejitoa. Kundi la Mtu Chee lililoanzishwa na rappers Stamina, Country Boy na Young Dee, leo […]
9 years ago
Bongo502 Oct
Exclusive: Mambo 3 Usiyoyajua Kuhusu Young Killer (Video)
Tazama video hiyo chini kuweza kufahamu mambo matatu usiyoyafahamu kuhusu Young Killer. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania