Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaendelea kutoa ‘dozi’ Z’bar

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili Andrey Coutinho alihitaji dakika saba pekee kuiandikia Yanga bao la kwanza kabla ya Salum Telela kukamilisha hesabu katika kipindi cha pili wakati Yanga ilipoizamisha Shangani mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAENDELEZA KUTOA DOZI MASHINDANO YA MEI MOSI

Na. James Katubuka
Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeendelea kutoa dozi katika michuano ya Mei Mosi 2014 baada ya kuichachafya CDA Dodoma kwa magoli 42 – 15 katika mchezo uliochezwa jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezo huo ulikuwa wa aina yake na ushindani wa sababu  CDA inaundwa na wachezaji wazoefu katika mashindano ilhali  Ofisi ya Rais Utumishi iliundwa na kikosa cha wachezaji ambao wamewahi kucheza katika ya Taifa ya mpira wa Pete...

 

10 years ago

GPL

EFM KUTOA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR

BAADA ya kumalizika kwa Tamasha la muziki mnene Mtaa kwa Mtaa awamu ya kwanza, (Muziki mnene bango) ambapo mashabiki na wasikilizaji wengi wa EFM wamejishindia zawadi kabambe, Sasa ni zamu ya wapenzi wa burudani na mambo ya party. Muziki mnene bar kwa bar ni tukio ambalo lina wakutanisha wasikilizaji na mashabiki wa EFM na wakali wa EFM kutoka wilaya za kinondoni, Ilala na Temeke katika mkoa wa Dar er Salaam, na kwa sasa Muziki...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam zagawa dozi

Mabao mawili yaliyofungwa na Simon Msuva yalitosha kuipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mgambo JKT iliyokuwa na wachezaji kumi, huku Azam wakiichapa Coastal Union, 2-1.

 

11 years ago

GPL

Jaja aongezewa dozi ya mazoezi Yanga

Straika Mbrazil wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’. Na Goodluck Ngai
KATIKA jitihada za kumfanya awe tishio zaidi msimu ujao, benchi la ufundi la Yanga limeamua kumuongezea programu ya mazoezi straika Mbrazil, Genilson Santos ‘Jaja’. Kuonyesha kwamba Yanga haitaki mchezo, Jaja amekuwa akiendelea kufanyishwa mazoezi hata pale wenzake wanapopumzika.Yanga, juzi Jumamosi asubuhi kwenye Uwanja wa Shule ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga, Simba, Azam zatoa dozi VPL

Pg 32*Kagera, Prisons, Majimaji zabanwa mbavu, African Sports hoi Ligi kuu

NA WAANDISHI WETU

TIMU za soka za Yanga, Simba na Azam jana zilitoa dozi ya vipigo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizochezwa kwenye viwanja tofauti, huku mabingwa hao watetezi wakiendelea kutamba kileleni mwa ligi hiyo.

Vinara Yanga walijiongezea kasi na kuzidi kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kuwazamisha wenyeji wao Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Yanga yatoa Dozi mapinduzi cup 2016.

Michuano ya kombe la mapinduzi 2016 imeanza mwanzoni mwa wiki hii visiwani Zanzibar

 

11 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Yanga yaanza kugawa dozi

>Yanga imeanza kazi ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons iliyokuwa pungufu mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

StarTV

TMA yaendelea kutoa tahadhari kwa wananchi

Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imeendelea kuwakumbusha na kuwatahadharisha wananchi waishio mabondeni juu ya athari za mvua za vuli ambazo zimeanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini.

Mvua hizo zimeanza kuonesha madhara kwa wananchi kutokana na kupuuzia agizo la mamlaka husika.

Dr Ladslaus Chang’a ni Mkurugenzi wa Utafiti wa masuala ya hali ya hewa,ambae anasema mvua hizi kwa mujibu wa rekodi za mamlaka ya hali ya hewa zimekuwa zikijirudia katika mwezi novemba kama ilivyotokea Novemba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani