Promosheni ya Jaymillions yaanza kwa kishindo jijini dar
Mtangazaji wa kituo chatelevisheni ya Taifa (TBC), Bavon Benjamin (wa kwanza kulia) akimsikiliza balozi wa promosheni ya JayMillions Hillary Daud “Zembwela” (wa tatu kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa promosheni hiyo inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ili kujua kama ameshinda, mteja anatakiwa kutuma neno “Jay” kwenda 15544 mara moja tu kwa siku.Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (kulia) akitoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPROMOSHENI YA JAYMILLIONS YAANZA KWA KISHINDO
10 years ago
GPLMSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
10 years ago
GPLMSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
10 years ago
MichuziBALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM'JAY'AWALIPIA ABIRIA WOTE NAULI WA KITUO CHA MAWASILIANO JIJINI
10 years ago
GPLBALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM'JAY'AWALIPIA ABIRIA WOTE NAULI WA KITUO CHA MAWASILIANO JIJINI
10 years ago
MichuziMWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA
10 years ago
GPLMSHINDI WA BBA HOTSHOTS APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Magufuli aendelea na kampeni zake jijini Dar, apokelewa kwa kishindo
Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akiwanadi wagombea kiti cha Udiwani kwa wakazi wa Kinondoni kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es salaam.(PICHA NA MICHUZI JR-DAR ES SALAAM).
Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ubungo.Sinza jijini Dar kwenye uwanja wa TP wakati wa kampeni.Dkt Magufuli ameendelea na kampeni zake mkoani Dar es salaam,ambapo kesho ataendelea kuhutubia kwenye majimbo mbalimbali ya jiji hilo.
Mgombea...
9 years ago
MichuziMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIJINI DAR,APOKELEWA KWA KISHINDO
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimnadi...