Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YAANZA KWA KISHINDO

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (kulia) akitoa maelezo juu ya promosheni ya JayMillions iliyozinduliwa na kampuni hiyo jana wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika jana. Pamoja naye ni balozi wa promosheni hiyo, Hillary Daud “Zembwela” (kushoto). Ili kujua kama ameshinda, mteja anatakiwa kutuma neno “Jay” kwenda 15544 mara moja tu kwa siku.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Promosheni ya Jaymillions yaanza kwa kishindo jijini dar

Mtangazaji wa kituo chatelevisheni ya Taifa (TBC), Bavon Benjamin (wa kwanza kulia) akimsikiliza balozi wa promosheni ya JayMillions Hillary Daud “Zembwela” (wa tatu kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa promosheni hiyo inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ili kujua kama ameshinda, mteja anatakiwa kutuma neno “Jay” kwenda 15544 mara moja tu kwa siku.Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (kulia) akitoa...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO

.Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO‏

Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM CHANGAMKIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Dar es Salaam, Tanzania, Januari 15, 2015:Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ambayo ilizinduliwa juzi ili waweze kujishindia mamilioni ya fedha kwa kuwa droo ya kwanza iliyofanyika leo/jana mshindi wa milioni 100/- hakupatikana wakiwemo washindi kumi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ufaransa yaanza kwa kishindo

Ufaransa imeanza vyema Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuichapa Honduras mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Beira-Rio mjini Porto Alegre, Brazil na kuongoza kundi E.

 

10 years ago

Michuzi

Watano wajishindia fedha promosheni ya Jaymillions ya vodacom

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao aliyesimama(kushoto)akionyeshwa namba ya mmoja wa washindi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki,wengine katika picha(kulia) ni mtaalamu wa mifumo ya kompyuta Michael Kanakakis,waliokaa (kutoka kulia) ni Dimitrios Lintis na Zakaria Kanyi.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Promosheni ya Jaymillions yaendelea kuongeza mamilionea nchini.

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo ya 55 ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika leo,ambapo Habibu Saidi(19)ambaye ni mkazi wa Kabale Bukoba vijijini anayesubiria kuanza kidato cha tano hivi karibuni kwa kujishindia kitita cha shilingi milioni 10.Kutoka kushoto ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho Millao na Meneja wa huduma za ziada wa kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto)akihakiki namba ya simu ya mshindi wa promosheni ya JayMillions anayoonyeshwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Katikati)wakati wa kuchezesha droo ya 13 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Mkazi wa Magu James Mangu amejishindia kitita cha shilingi Milioni 10/-anaeshuhudia kulia ni Afisa wa kampuni hiyo Pristin Lyatonga.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yaanza kwa kishindo AFCON

Timu ya Ghana imeanza kwa kishindo katika mechi za kwanza za kufuzu kucheza fainali za Afcon za mwa 2017

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani