Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATEJA WA VODACOM CHANGAMKIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Dar es Salaam, Tanzania, Januari 15, 2015:Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ambayo ilizinduliwa juzi ili waweze kujishindia mamilioni ya fedha kwa kuwa droo ya kwanza iliyofanyika leo/jana mshindi wa milioni 100/- hakupatikana wakiwemo washindi kumi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA BILIONI 29 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku.
Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na kutokufanikiwa kupata mshindi wa fedha taslimu na kubakia na idadi ileile ya washindi watano waliojishindia...

 

10 years ago

Michuzi

MKULIMA WA KATAVI ALIYEJISHINDIA MILIONI 10 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE, Ni kupitia promosheni ya JayMillions, Bilioni 24.3 zawasubiri wateja

Mmoja wa washindi wa milioni 10 kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania – Hynes Petro Kanumba mkazi wa Katavi mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla iliyofanyika mkoani humo.  Promosheni ya Jaymillions inayoendelea ikiwa katika wiki ya tatu na ambayo itadumu kwa muda wa siku 100 itaendelea kuleta faraja na mafanikio kwa wateja wa Vodacom kwa kuweza kujinasua katika hali duni ya maisha.  Hadi kufikia leo ni Sh. 126m/- pekee zilizokwisha...

 

10 years ago

Bongo5

Shilingi bilioni 29,995,000,000 zinawasubiri wateja wa Vodacom kupitia promosheni ya JayMillions

Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku. Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi […]

 

10 years ago

Michuzi

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto)akihakiki namba ya simu ya mshindi wa promosheni ya JayMillions anayoonyeshwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Katikati)wakati wa kuchezesha droo ya 13 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Mkazi wa Magu James Mangu amejishindia kitita cha shilingi Milioni 10/-anaeshuhudia kulia ni Afisa wa kampuni hiyo Pristin Lyatonga.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda...

 

10 years ago

Michuzi

Watano wajishindia fedha promosheni ya Jaymillions ya vodacom

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao aliyesimama(kushoto)akionyeshwa namba ya mmoja wa washindi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki,wengine katika picha(kulia) ni mtaalamu wa mifumo ya kompyuta Michael Kanakakis,waliokaa (kutoka kulia) ni Dimitrios Lintis na Zakaria Kanyi.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa...

 

10 years ago

GPL

MAMA MKULIMA ASHINDA MIL. 10/- ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho Millao(kulia)akiandika namba ya Hynes Petro Kanumba (20) Mkazi wa kijiji cha Inyonga mkoani Rukwa aliyeibuka mshindi wa Shilingi Milioni 10/- katika droo ya nane kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,wengine katika picha kutoka kushoto Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu na Meneja uhakiki wa mapato Vodacom Zakaria Kamweru.Ili mteja...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI

Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.Muuza magazeti wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ally Hamis (kulia) akifafanuliwa jambo na Meneja Biashara wa M-pesa Noel Mazoya kuhusiana na promosheni ya JayMillions wakati wafanyakazi wa kampuni...

 

10 years ago

GPL

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM‏

Mkurugenzi wa kampuni ya Mobile Solution,Dimitrios Lintis(katikati)akiwaonyesha namba ya mshindi wa Promosheni ya JayMillions Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Kulia) wakati wa kuchezesha droo ya 13 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Mkazi wa Magu James Mangu amejishindia kitita cha shilingi Milioni 10/- Ili mteja kujua kama ameshinda...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI‏

Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Muuza magazeti wa Kariakoo jijini Dar es…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani