Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufaransa yaanza kwa kishindo

Ufaransa imeanza vyema Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuichapa Honduras mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Beira-Rio mjini Porto Alegre, Brazil na kuongoza kundi E.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yaanza kwa kishindo AFCON

Timu ya Ghana imeanza kwa kishindo katika mechi za kwanza za kufuzu kucheza fainali za Afcon za mwa 2017

 

10 years ago

GPL

PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YAANZA KWA KISHINDO

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (kulia) akitoa maelezo juu ya promosheni ya JayMillions iliyozinduliwa na kampuni hiyo jana wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika jana. Pamoja naye ni balozi wa promosheni hiyo, Hillary Daud “Zembwela” (kushoto). Ili kujua kama ameshinda, mteja anatakiwa kutuma neno “Jay” kwenda 15544 mara moja tu kwa siku.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA BAWACHA YAANZA KWA KISHINDO KWA KUTIKISA MWANZA

Viongozi wa BAWACHA wakiongozwa na Mhe. Halima Mdee wakipata picha ya pamoja mara tu walipowasili jijini Mwanza,Wananchi mkoani Mwanza wakiwa kwenye wenye wingi wa fuaraha baada ya kupokea ujiwa wa viongozi wao wa BAWACHA.Ni vigelegele na vifijoMsafala wa wanachi wa Mwanza na viongozi wa BAWACHA

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya chanjo ya surua, rubella yaanza kwa kishindo

SERIKALI imesema haitasita kuagiza chanjo zilizopo na zitakazogunduliwa baadaye ili kuwakinga Watanzania na maradhi yanayozuilika kwa chanjo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashidi.

 

11 years ago

Michuzi

Temeke yaanza Airtel Rising Stars kwa kishindo

Timu ya wavulana ya Temeke jana imeyaanza vyema mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa kwa kuifunga Mbeya 2-1 katika mchezo wa ufunguzi uliochezwa kwenye uwanja wa kumbu kumbu ya Karume jijini Dar es Salaam. Baada ya kosa kosa za hapo na pale kutoka pande zote mbili, Temeke walifanikiwa kuandika bao lao la kwanza katika dakika ya 27 kupitika kwa mshambuliaji machachali Siaba Selehe. Bao hilo lilipokelewa kwa nderemo na vifijo na mashabiki wa...

 

11 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAANZA MWANZA KWA KISHINDO

Msanii wa Bongo Flava, Linah Sanga (wa pili kushoto) na mkali wa muziki huo na mshindi wa tuzo ya AFRIMMA 2014, Diamond Platinum (kushoto) wakifanya vitu vyao katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' (kushoto), akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la Tamasha la Serengeti...

 

11 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAANZA MASHINDANO YA MEI MOSI KWA KISHINDO

 Timu ya mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza mashindano ya Mei Mosi 2014 kwa ushindi mnono kwa kuichapa timu ya Alliance One ya Morogoro magoli 46 kwa 7.   Mchezo huo ulifanyika katika Uwanja wa Jamhuri Siku ya Pasaka uliwachukua Utumishi takribani dakika 10 za mchezo kuwasoma wapinzani wao na kuanza kufunga ambapo hadi kipindi cha kwanza kinamalizika Alliance One walishakubali magoli 23 dhidi ya 5.  Wachezaji waliofanikisha ushindi huo ni Fatuma Machenga...

 

10 years ago

Michuzi

Promosheni ya Jaymillions yaanza kwa kishindo jijini dar

Mtangazaji wa kituo chatelevisheni ya Taifa (TBC), Bavon Benjamin (wa kwanza kulia) akimsikiliza balozi wa promosheni ya JayMillions Hillary Daud “Zembwela” (wa tatu kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa promosheni hiyo inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ili kujua kama ameshinda, mteja anatakiwa kutuma neno “Jay” kwenda 15544 mara moja tu kwa siku.Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (kulia) akitoa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA MEI MOSI, MOROGORO

 Wanamichezo wa Ofisi ya Waziri Mkuu wanaoshiriki katika Mashindano ya Mei Mosi Mjini Morogoro, wakipita mbele ya mgeni Rasmi, Mkuu wa mkoa wa  Morogoro Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati wa Ufunguzi wa mashindano hayo jana. Washiriki wa Mashindano hayo ni Wizara, Idara na Taasisi za Serikali zinazojitegemea.

 Kikosi kabambe cha  Mpira  wa miguu cha  Ofisi ya Waziri Mkuu inayoshiriki katika Mashindano ya Mei mosi yanayoendelea mjini Morogoro.    Timu ya kamba Wanawake ya Ofisi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani