Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHINDI WA BBA HOTSHOTS APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI DAR

Mshindi wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere muda si mrefu.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli aendelea na kampeni zake jijini Dar, apokelewa kwa kishindo

Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akiwanadi wagombea kiti cha Udiwani kwa wakazi wa Kinondoni kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es salaam.(PICHA NA MICHUZI JR-DAR ES SALAAM).

Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ubungo.Sinza jijini Dar kwenye uwanja wa TP wakati wa kampeni.Dkt Magufuli ameendelea na kampeni zake mkoani Dar es salaam,ambapo kesho ataendelea kuhutubia kwenye majimbo mbalimbali ya jiji hilo.

Mgombea...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIJINI DAR,APOKELEWA KWA KISHINDO

Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akiwanadi wagombea kiti cha Udiwani kwa wakazi wa Kinondoni kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es salaam.Dkt Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Dkt MasaburiDkt Asharose Migiro akimwombea kura za ushindi wa kishindo mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya TP,sinza jijini Dar.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimnadi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt Magufuli arejea jijini Dar baada ya kujitambulisha mikoa kadhaa, apokelewa kwa kishindo

7

Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodomaakitokea Mkoani  Dodoma. (PICHA NA MICHUZI JR-MICHUZI MEDIA GROUP).

Wakazi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao.

Mkazi wa Bagamoyo akifurahia jambo.

 Wananchi wakimshangilia Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijitambulisha kwao hapo...

 

10 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR BAADA YA KUJITAMBULISHA MIKOA KADHAA,APOKELEWA KWA KISHINDO

 Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Bagamoyo (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodoma.Dkt Magufuli amejitambulisha vyema kila alikopita na kupokelewa kwa kishindo katika mikoa na vitongoji vyake aliyopita ikiwemo jijini Mwanza,Geita,dodoma,Morogoro,Pwani na jiji la Dar kwa ujumla. Wakazzi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao na...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris akijibu maswali ya mashabiki wa Afrika

Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan akijibu maswali ya mashabiki mbalimbali wa Afrika Live kupitia Google Hangouts. Wengi wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo atazitumiaje US $ 300,000 alizoshida, msichana gani ambaye angependa kuendelea kuwa na uhusiano nae nje ya BBA kati ya wale aliokuwa nao mjengoni nk.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA,APOKELEWA KWA KISHINDO.

Mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa sambamba na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasalimia wakazi wa jiji la Arusha na vitongoji vyake kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid,mkoani ArushaMgombea Ubunge wa jimbo la...

 

10 years ago

GPL

MHE. MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO DAR, AHUTUBIA NYOMI MBAGALA

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiteremka kwenye ndege.  …Magufuli akisalimiana na wanachama wa CCM.…

 

10 years ago

GPL

WAGENI BBA HOTSHOTS WAKARIBISHWA KWA BURUDANI

Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Sibongile Mngoma akitoa burudani, juzi Ijumaa, kwenye Ukumbi wa Winnie’s Soul & Jazz kwa ajili ya wageni maalum waliokaribishwa kwenye uzinduzi wa Shoo ya Big Brother HotShots jijini Johannesburg. Shoo hiyo itazinduliwa rasmi leo. (PICHA: JOHN JOSEPH / GPL,…

 

10 years ago

Bongo5

Dj Tass awafurahisha wabongo kwa kupromote muziki wa nyumbani ndani ya BBA Hotshots

Dj Tass wa Majic Fm na Maisha Magic ya DSTV Ijumaa (Nov. 14) alikuwa official Dj aliyetumbiza kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Mashabiki wengi wameonekana kufurahishwa na uzalendo aliouonesha kwa kupromote zaidi ngoma nyingi za wasanii wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla katika platform ambayo inaonekana kwenye nchi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani