Video: Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris akijibu maswali ya mashabiki wa Afrika
Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan akijibu maswali ya mashabiki mbalimbali wa Afrika Live kupitia Google Hangouts. Wengi wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo atazitumiaje US $ 300,000 alizoshida, msichana gani ambaye angependa kuendelea kuwa na uhusiano nae nje ya BBA kati ya wale aliokuwa nao mjengoni nk.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Dec
Jose Chameleone aungana na Watanzania kuhamasisha Afrika Mashariki impigie kura Idris ashinde BBA Hotshots
Shindano la Big Brother Africa Hotshots linaelekea katika hatua muhimu zaidi ikiwa sasa wamesalia washiriki nane akiwemo Idris anayeiwakilisha Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Msanii mkubwa Afrika Mashariki, Jose Chameleone wa Uganda ameonesha mfano wa kile kinachotakiwa kufanywa na wana Afrika Mashariki ili kumuwezesha Idris abaki mjengoni hadi siku ya fainali na hatimaye kurudi […]
10 years ago
Michuzi05 Oct
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yLBGfqJNowiFYLIwgFDCMi51RuO8mvC1dWY0oLZzFu9uQUWg2RGUvxwfbS*VNDggkQdqTEpp73ByTQIUZqTY*U8sgKmBH9Xi/03e47ea0a69a11e3a586123cee9e9f3b_8.jpg)
IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014
Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu. Idris Sultan akiwa katika…
10 years ago
Bongo519 Sep
Picha: Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots
Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili. Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda […]
10 years ago
Bongo501 Dec
BBA Hotshots: Uganda na wengine watatu wafungasha virago, Idris aendelea kupeta
Washiriki wengine wanne wamefungasha virago kwenye Big Brother Hotshots wiki iliyopita. Afrika mashariki imepoteza mshiriki mwingine baada ya Ellah (Uganda) kutolewa. Wengine waliotoka ni Goitse (Botswana), Sheillah (Botswana) pamoja na Trezagah (Msumbiji) ndio washiriki waliotolewa Jumapili (Nov.30) baada ya kupata kura chache. Idris ameendelea kubaki mjengoni baada ya kupata kura za nchi tatu ambazo ni […]
10 years ago
GPLMSHINDI WA BBA HOTSHOTS APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI DAR
Mshindi wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere muda si mrefu.…
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Bnb1irzakeM/default.jpg)
10 years ago
GPLMSHINDI WA BBA IDRIS SULTAN ATINGA GLOBAL TV ONLINE
 Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akijiandaa kufanya mahojiano na wafanyakazi wa Global Publishers kupitia Global TV Online. Idris Sultan akifafanua jambo kwa wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania