Jose Chameleone aungana na Watanzania kuhamasisha Afrika Mashariki impigie kura Idris ashinde BBA Hotshots
Shindano la Big Brother Africa Hotshots linaelekea katika hatua muhimu zaidi ikiwa sasa wamesalia washiriki nane akiwemo Idris anayeiwakilisha Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Msanii mkubwa Afrika Mashariki, Jose Chameleone wa Uganda ameonesha mfano wa kile kinachotakiwa kufanywa na wana Afrika Mashariki ili kumuwezesha Idris abaki mjengoni hadi siku ya fainali na hatimaye kurudi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo509 Dec
Video: Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris akijibu maswali ya mashabiki wa Afrika
Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan akijibu maswali ya mashabiki mbalimbali wa Afrika Live kupitia Google Hangouts. Wengi wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo atazitumiaje US $ 300,000 alizoshida, msichana gani ambaye angependa kuendelea kuwa na uhusiano nae nje ya BBA kati ya wale aliokuwa nao mjengoni nk.
10 years ago
Michuzi05 Oct
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yLBGfqJNowiFYLIwgFDCMi51RuO8mvC1dWY0oLZzFu9uQUWg2RGUvxwfbS*VNDggkQdqTEpp73ByTQIUZqTY*U8sgKmBH9Xi/03e47ea0a69a11e3a586123cee9e9f3b_8.jpg)
IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014
Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu. Idris Sultan akiwa katika…
10 years ago
Bongo519 Sep
Picha: Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots
Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili. Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda […]
10 years ago
Bongo501 Dec
BBA Hotshots: Uganda na wengine watatu wafungasha virago, Idris aendelea kupeta
Washiriki wengine wanne wamefungasha virago kwenye Big Brother Hotshots wiki iliyopita. Afrika mashariki imepoteza mshiriki mwingine baada ya Ellah (Uganda) kutolewa. Wengine waliotoka ni Goitse (Botswana), Sheillah (Botswana) pamoja na Trezagah (Msumbiji) ndio washiriki waliotolewa Jumapili (Nov.30) baada ya kupata kura chache. Idris ameendelea kubaki mjengoni baada ya kupata kura za nchi tatu ambazo ni […]
10 years ago
Bongo505 Dec
Idris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki yajiunga kumpigia kura kwa fujo!
Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa kiasi kikubwa pia. Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila sababu ya kuwa na matumaini kuwa kijana wetu Idris Sultan anaweza kushinda taji la Big Brother Africa, Hotshots. Tunaona jinsi ambavyo mastaa na watu […]
10 years ago
Bongo517 Oct
BBA Hotshots: Endelea kumpigia kura Laveda wa Tanzania kumuokoa asitoke Jumapili hii
Mshiriki mmoja wa Tanzania yupo kwenye hatari ya kutoka kwenye msimu wa tisa wa shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ weekend hii, ambaye ni Laveda (Irene La Veda). Hivyo njia pekee ya kumuokoa abaki kwenye jumba la ‘kaka mkubwa’ ni kura yako. Washiriki wawili kati ya tisa watafunga mizigo yao siku ya Jumapili. Washiriki waliopigiwa […]
10 years ago
Bongo504 Mar
Collabo za wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi zinazidi kuongezeka, Sasa ni Chameleone (UG) na Patoranking (NG)
Uhusiano wa wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi unazidi kuimarika kwa wasanii wa nchi hizo kuzidi kushirikiana kufanya collabo, na sasa ni zamu ya Jose Chameleone wa Uganda na Patoranking wa Nigeria. Chameleone anatarajia kuachia wimbo mpya ambao kamshirikisha muimbaji huyo wa Reggae-Dancehall, Patoranking ambaye mwaka jana alikuja Tanzania kutumbuiza kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania