Idris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki yajiunga kumpigia kura kwa fujo!
Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa kiasi kikubwa pia. Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila sababu ya kuwa na matumaini kuwa kijana wetu Idris Sultan anaweza kushinda taji la Big Brother Africa, Hotshots. Tunaona jinsi ambavyo mastaa na watu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo522 Dec
Idris amuahidi Feza Kessy mgao kutoka kwenye $300,000 za Big Brother!
Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan sio mchoyo wa mkwanja wake alioupata. Pamoja na kuiahidi Afrika nzima kuwa ataipa chochote (sio cash ofcourse), Feza Kessy anaweza kuwa miongoni mwa watu wachache wa karibu watakaopata mgao kidogo! Idris amesema Feza alikuwa mtu aliyempa nguvu wakati akiwa ndani ya jumba hilo hivyo yuko tayari kulipa […]
10 years ago
Michuzi07 Dec
BREAKING NEWSSSS.... IDRIS SULTAN ASHINDA shindano la Big Brother ‘hotshots’ aondoka na dola elfu 300 za kimarekani
![](http://api.ning.com/files/1pYGM2xUDQlMP4IhwN21S9apNq7B4pRvQJtsScdchDNApvopb2k3rwFaufuPDoy5EdOmNgUt-x*HH*BTvUS8V*I-g45RqMdX/9266_10204363760083035_7598613077307764719_n.jpg?width=650)
10 years ago
Vijimambo12 Nov
MPIGIE KURA IDRIS KUBAKI KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA
BOFYA HAPO JUU VOTE AU PIGA KURA KISHA CHAGUA JINA LA IDRIS PIGA KURA YAKO HAPO MOJA KWA MOJA. PIA UNAWEZA KUMPIGIA KURA KWA UJUMBE MFUPI WA MAANDISHI YAANI SMS ANDIKA NENO VOTE IDRIS TUMA KWENDA NAMBA 15426 MPIGIE KURA MARA NYINGI UWEZAVYO
10 years ago
Bongo517 Oct
BBA Hotshots: Endelea kumpigia kura Laveda wa Tanzania kumuokoa asitoke Jumapili hii
Mshiriki mmoja wa Tanzania yupo kwenye hatari ya kutoka kwenye msimu wa tisa wa shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ weekend hii, ambaye ni Laveda (Irene La Veda). Hivyo njia pekee ya kumuokoa abaki kwenye jumba la ‘kaka mkubwa’ ni kura yako. Washiriki wawili kati ya tisa watafunga mizigo yao siku ya Jumapili. Washiriki waliopigiwa […]
10 years ago
Bongo516 Oct
Elani (Kenya) kutumbuiza Jumapili hii kwenye Big Brother Africa
Kundi la Kenya, Elani, linaloundwa na watu watatu, Bryan Chweya, Maureen Kunga na Wambui Ngugi litatumbuiza Jumapili hii kwenye shindano la Big Brother Africa. Kundi hilo lililotajwa pia kuwania tuzo za CHOAMVA 2014 lina album iitwayo ‘Barua Ya Dunia’ na linafanya Afrika Mashariki na kwingineko Nyimbo zao nyingi ni za Kiswahili fasaha
10 years ago
Bongo502 Dec
Jose Chameleone aungana na Watanzania kuhamasisha Afrika Mashariki impigie kura Idris ashinde BBA Hotshots
Shindano la Big Brother Africa Hotshots linaelekea katika hatua muhimu zaidi ikiwa sasa wamesalia washiriki nane akiwemo Idris anayeiwakilisha Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Msanii mkubwa Afrika Mashariki, Jose Chameleone wa Uganda ameonesha mfano wa kile kinachotakiwa kufanywa na wana Afrika Mashariki ili kumuwezesha Idris abaki mjengoni hadi siku ya fainali na hatimaye kurudi […]
10 years ago
Vijimambo![](http://lh4.ggpht.com/-mdOXWX68UcE/VBfuSOwQChI/AAAAAAAAQnw/PuQ05DW8Lc8/s72-c/swahiliPicnic-1.png)
MAMBO YOTE JUMAPILI HII TAMASHA LA KISWAHILI JUMAPILI HII-(WASHINGTON DMV) -MABALOZI WA NA NCHI ZOTE ZA MASHARIKI WATHIBITISHA KUWEPO.
![](http://lh4.ggpht.com/-mdOXWX68UcE/VBfuSOwQChI/AAAAAAAAQnw/PuQ05DW8Lc8/s640/swahiliPicnic-1.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania