Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO YOTE JUMAPILI HII TAMASHA LA KISWAHILI JUMAPILI HII-(WASHINGTON DMV) -MABALOZI WA NA NCHI ZOTE ZA MASHARIKI WATHIBITISHA KUWEPO.


MAYOR WA MJI WA BLADENSBURG KUHUTUBIA, MABALOZI WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI WATAKUWEPO,FREE BOAT RIDE KUZUNGUKA MTO, MICHEZO YA WATOTO, UTAMADUNI WA AFRIKA MASHARIKI,VENDORS,CHAKULA CHA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA SAFARI RESTAURANT DC, VINYWAJI BARIDI VYOTE VINAPATIKANA:                                               HAKUNA KIINGILIO NI BUREEE!

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAMCO INAWAKARIBISHA KWENYE MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD DMV- JUMAPILI HII


Jumuiya ya Waislamu wa DMV (TAMCO) inapenda kuwakaribisha  wote kwenye  sherehe za MAULID .  Sherehe za Maulid zitafanyika siku ya Jumapili  Hii tarehe 16 Februari 2014.  Claridge Local Park  11901 Claridge Rd, Wheaton-Glenmont, MD 20902.  3:00 PM - 8:00PM WOTE MNAKARIBISHWA

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Ibada ya Kiswahili Jumapili hii Aprili 19, 2015 Kuanzia saa kumi kamili

*** Ibada ya pili ya Mwezi - Kusifu na Kuabudu*** ***Mchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga******www.iykcolumbus.org***

 

10 years ago

CloudsFM

Tamasha la chakula cha kiafrika kufanyika Jumapili hii jijini Arusha.

Tamasha la Chakula cha Kiafrika linatarajiwa kufanyika Jumapili hii jijini Arusha kwenye mgahawa wa Umbrella(Umbrella Garden and restaurant).

Akizungumzia tamasha hilo,Elihuruma Msengi alisema kuwa leo la kufanya tamasha la chakula cha Afrika ni kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa lishe na chakula cha kiafrika kwani magonjwa mengi yanatokana na vyakula vya viwandani na pia kudumisha upendo na amani kwa wananchi wa jiji la Arusha. Aidha ameongeza kuwa siku hiyo ya Jumapili itakuwa ni siku ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Ibada ya Kiswahili - PASAKA Jumapili hii Aprili 05, 2015 Kuanzia saa kumi kamili

***   ***   *** ***   ***   *** Tembelea tovuti yetu www.iykcolumbus.orgKaribu Ubarikiwe na NENO la Siku kwenye ukurasa wetu wa Facebook (FB) Ibada ya Kiswahili-Columbus, Ohio
Mch. Ipyana Mwakabonga

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Ibada ya Kiswahili — Kusifu na Kuabudu Jumapili hii Machi 15 Kuanzia Saa Kumi kamili

Ibada ya Kiswahili - Columbus OhioMch. Ipyana Mwakabonga  Tovuti: www.iykcolumbus.org

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani