BBA Hotshots: Uganda na wengine watatu wafungasha virago, Idris aendelea kupeta
Washiriki wengine wanne wamefungasha virago kwenye Big Brother Hotshots wiki iliyopita. Afrika mashariki imepoteza mshiriki mwingine baada ya Ellah (Uganda) kutolewa. Wengine waliotoka ni Goitse (Botswana), Sheillah (Botswana) pamoja na Trezagah (Msumbiji) ndio washiriki waliotolewa Jumapili (Nov.30) baada ya kupata kura chache. Idris ameendelea kubaki mjengoni baada ya kupata kura za nchi tatu ambazo ni […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo526 Oct
BBA: Mtanzania na Mkenya wafungasha virago
Mwakilishi wa kike wa Tanzania, Laveda ameondolewa kwenye mashindano ya Big Brother Africa Jumapili hii. Laveda amekuwa mshiriki wa sita wa kike kuondolewa kwenye mashindano hayo. Mshiriki mwingine aliyetoka leo ni Alusa wa Kenya ambaye amekuwa mwanaume wa kwanza kutoka. Kenya haina tena mwakilishi kwenye shindano hilo. Tanzania imebakiza mshiriki mmoja, Idris Sultan.
10 years ago
Bongo503 Nov
BBA Hotshots: Wawakilishi wa Rwanda, Namibia na Ghana wafungasha mizigo
Mshiriki wa Rwanda, Arthur ameungana na washiriki wengine wawili Luis (Namibia) na Kacey (Ghana) waliofungasha mizigo yao baada ya kuondolewa kwenye shindano la Big Big Brother Afrika Jumapili hii. Arthur-Rwanda Rwanda sasa imebakiwa na mshiriki mmoja. Hivi ndivyo kura zilivyopigwa: Macky2: Mozambique, Rest of Africa, Zambia Frankie: Kenya, Tanzania, Uganda Sheillah: Botswana, Nigeria, South Africa […]
11 years ago
Michuzi05 Oct
11 years ago
GPL
IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014
Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu. Idris Sultan akiwa katika…
11 years ago
Bongo519 Sep
Picha: Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots
Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili. Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda […]
10 years ago
Bongo509 Dec
Video: Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris akijibu maswali ya mashabiki wa Afrika
Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan akijibu maswali ya mashabiki mbalimbali wa Afrika Live kupitia Google Hangouts. Wengi wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo atazitumiaje US $ 300,000 alizoshida, msichana gani ambaye angependa kuendelea kuwa na uhusiano nae nje ya BBA kati ya wale aliokuwa nao mjengoni nk.
10 years ago
Bongo502 Dec
Jose Chameleone aungana na Watanzania kuhamasisha Afrika Mashariki impigie kura Idris ashinde BBA Hotshots
Shindano la Big Brother Africa Hotshots linaelekea katika hatua muhimu zaidi ikiwa sasa wamesalia washiriki nane akiwemo Idris anayeiwakilisha Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Msanii mkubwa Afrika Mashariki, Jose Chameleone wa Uganda ameonesha mfano wa kile kinachotakiwa kufanywa na wana Afrika Mashariki ili kumuwezesha Idris abaki mjengoni hadi siku ya fainali na hatimaye kurudi […]
11 years ago
Bongo520 Oct
BBA Hotshots: Washiriki wa Kenya, Uganda, na Nigeria watolewa mchezoni, Laveda aponea chupuchupu
Mtanzania Laveda Jumapili October 19 aliponea chupuchupu kwa kubaki kwenye jumba la Big Brother Africa, huku akiwashuhudia washiriki wenzake watatu wa kike wakitoka mchezoni. Sabina, Lilian, Esther Esther (Uganda) , Lilian (Nigeria) pamoja na Sabina (Kenya) ndio washiriki walioondolewa katika shindano hilo usiku wa jana ikiwa ni ‘eviction’ ya pili toka shindano lianze. Hadi sasa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania