Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Collabo za wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi zinazidi kuongezeka, Sasa ni Chameleone (UG) na Patoranking (NG)

Uhusiano wa wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi unazidi kuimarika kwa wasanii wa nchi hizo kuzidi kushirikiana kufanya collabo, na sasa ni zamu ya Jose Chameleone wa Uganda na Patoranking wa Nigeria. Chameleone anatarajia kuachia wimbo mpya ambao kamshirikisha muimbaji huyo wa Reggae-Dancehall, Patoranking ambaye mwaka jana alikuja Tanzania kutumbuiza kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NYUFA ZA TAIFA ZINAZIDI KUONGEZEKA; NI HATARI!

Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere Eric Shigongo
Mungu ni mwema sana hivyo wote tuseme; ahimidiwe daima.
Mara kwa mara nimekuwa nikiwaambia wananchi kupitia safu hii kwamba kinachoonekana sasa katika nchi zenye machafuko hazikuanza siku moja. Zilianza hatua kwa hatua na baadaye nje ya nchi hizo walimwengu wakasema nchi fulani ina machafuko. Nchi yetu tayari tumetimiza miaka zaidi ya 50 tangu kupata uhuru. Na tujiulize; je bado...

 

10 years ago

Bongo5

Jose Chameleone aungana na Watanzania kuhamasisha Afrika Mashariki impigie kura Idris ashinde BBA Hotshots

Shindano la Big Brother Africa Hotshots linaelekea katika hatua muhimu zaidi ikiwa sasa wamesalia washiriki nane akiwemo Idris anayeiwakilisha Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Msanii mkubwa Afrika Mashariki, Jose Chameleone wa Uganda ameonesha mfano wa kile kinachotakiwa kufanywa na wana Afrika Mashariki ili kumuwezesha Idris abaki mjengoni hadi siku ya fainali na hatimaye kurudi […]

 

10 years ago

GPL

WASANII AFRIKA MASHARIKI KUNUFAIKA NA EALLYWOOD

Baadhi ya wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wanaounda  EALLYWOOD wakiwa na Mratibu wao (aliyekaa katikati yao). Msanii Slim na Hashim Kambi kutoka Tanzania pamoja na Margareth wa Kenya wakiwa katika mkutano. Msanii Jackline Pentzel, Quincy kutoka Kenya  na Fidelite  wa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

LUPITA NYONG’O: Mfano kwa wasanii wa kike Afrika Mashariki

KESHO ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani, mwanadada msanii mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong’o, anaisherehekea kwa furaha ya aina yake, kutokana na mafanikio ya kutwaa tuzo kubwa yenye umaarufu...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii Afrika Mashariki kutengewa saa moja ya MTV Base

Wasanii - DiamondJULIET MORI (TUDARCO)

KITUO cha MTV Base kimezindua kipindi kipya kitakachokuwa kikishughulika na wasanii wa Afrika Mashariki kwa kuwahoji na kujua mazingira wanayokutana nayo katika kazi zao kwa ujumla.

Mtandao wa Ghafla Kenya umeeleza kwamba kipindi hicho cha saa moja kitaangalia zaidi maisha ya msanii kiundani na namna anavyoweza kupata kitakachoangalia maisha ya msanii kwa kumtambulisha kiundani, namna anavyoweza kupata mafanikio na aina ya muziki anayofanya.

 

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

10 years ago

Bongo5

Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii mchanga (Exclusive Audio)

Msanii mkongwe wa Uganda, Jose Chameleone, amekanusha ripoti zilizoandikwa kwenye mtandao wa BigEye wa Uganda kuwa amemuomba Diamond Platnumz wafanye collabo. Chameleone ameiambia Bongo5 kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani