MASHINDANO YA 16 YA MPIRA WA KIKAPU (BASKETBALL) KWA MAJIJI YA AFRIKA KANDA YA TANO KUFANYIKA DAR ES SALAAM MEI
Mashindano ya 16 ya Mpira wa Kikapu kwa Majiji ya Afrika Kanda ya Tano na Majiji alikwa kutoka Kanda zingine za Afrika yanatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mashindano yatafanyika:- Mwezi wa Mei, Tarehe 6 hadi 11 Mwaka 2014. Majiji yanayotarajiwa kushiriki ni Dar es Salaam (wenyeji), Mwanza, Mbeya, Arusha na Tanga kutoka Tanzania. Nairobi, Mombasa na Kisumu kutoka Kenya. Kampala na Mukomo kutoka Uganda. Majiji mengine ni Bujumbura – Burundi na Kigali-Rwanda. ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Mashindano ya mpira wa kikapu yaendelea
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_arPARyx-Vk/XlOqPJdq7lI/AAAAAAALe_o/qfOGUYIKezMetCfhilaQh_Yj3qaKtd8gQCLcBGAsYHQ/s72-c/1d17d89c-8de1-4eff-bf20-1b01fd79a45e.jpg)
MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.
Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.
“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...
11 years ago
MichuziUTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oK8uifLckp8/VdM-HsnmoOI/AAAAAAAHyBw/HFp5V1B6Myc/s72-c/images%2B%25281%2529.jpg)
UZINDUZI WA MASHINDANO YA POLISI JAMII KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM - KAMISHNA KOVA CUP KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-oK8uifLckp8/VdM-HsnmoOI/AAAAAAAHyBw/HFp5V1B6Myc/s1600/images%2B%25281%2529.jpg)
Madhumini ya mashindano haya ni ni Kuwaunganisha wananchi wenye itikadi mbalimbali ili kupitia mashindano haya watakaoshiriki watajifunza masuala ya usalama, uzalendo na kuzingatia utaifa kwa madhumuni ya kuwashirikisha kikamilifu katika ulinzi wa nchi na kudumisha amani ...
11 years ago
Mwananchi05 May
Mwanza yajitoa mashindano ya Majiji kwa ukata
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7CdsQHTv-AA/VZkQFKm7nkI/AAAAAAAHnDk/UOAAJGa4P20/s72-c/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
Benki ya Dunia Kanda ya Afrika yaridhishwa na maboresho ya miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-7CdsQHTv-AA/VZkQFKm7nkI/AAAAAAAHnDk/UOAAJGa4P20/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yfZExtANHgE/VaAl6qmdrUI/AAAAAAAHoiw/8sqVkWfR-cA/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola kufanyika jijini Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-yfZExtANHgE/VaAl6qmdrUI/AAAAAAAHoiw/8sqVkWfR-cA/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
9 years ago
StarTV24 Nov
Wawakilishi wa haki za wanawake kanda tano za Afrika wakutana Arusha
Wawakilishi wa wanawake kutoka kanda tano za Afrika wamekutana jijini Arusha dhamira kuu ikiwa ni kupigania haki za wanawake hususani walio kwenye maeneo ya pembezoni kuweza kupata haki ya kumiliki ardhi na rasilimali nyingine za asili.
Wanawake hao kutoka katika kanda za Mashariki,Kaskazini,Kati,Kusini na Magharini mwa Afrika wamesema licha ya kwamba katiba na sheria za nchi nyingi za Afrika zinataja uwepo kwa haki sawa ya umiliki wa rasilimali kati ya wanaume na wanawake lakini kwa...