Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola kufanyika jijini Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-yfZExtANHgE/VaAl6qmdrUI/AAAAAAAHoiw/8sqVkWfR-cA/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Umma Bwana Hab Mkwizu (katikati) akizungumza na wanahabari jana (leo) jijini Dar es salaam , juu ya Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 13 hadi 15 mwezi huu. Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasilano Serikalini Florence Temba (kushoto) Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jGtDXcmyC2o/VaNRNsS7tzI/AAAAAAAHpQA/nEOxWDbfxlk/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA KUFUNGULIWA LEO DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-jGtDXcmyC2o/VaNRNsS7tzI/AAAAAAAHpQA/nEOxWDbfxlk/s640/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KLOItN84y1s/VaNRNTwnfOI/AAAAAAAHpP8/daBAxUIneC4/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
10 years ago
MichuziMkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam
10 years ago
Michuzi13 Jul
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA K U FUNGULIWA LEO
![om1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/om1.jpg)
![om2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/om2.jpg)
![om3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/om3.jpg)
Katibu Wakuu na watendaji mbalimbali wakijadili wakati wa kikao: kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka, akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimneti ya...
10 years ago
Vijimambo14 Jul
MKUTANO WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA JUMUIYA YA MADOLA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/135-1024x610.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/236-1024x628.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Rais Kikwete afungua mkutano wa wakuu wa Utumishi wa Umma wa jumuiya ya madola jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo.
Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
Mkutano wa Takwimu wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wafanyika jijini Dar Es Salaam
![NBS -2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/NBS-2.jpg)
![NBS-3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/NBS-3.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-62t01xO_AD8/VR4gyxFaaII/AAAAAAABqfQ/FMbx4yN-4A0/s72-c/NBS%2B1.jpg)
Mkutano wa Takwimu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Wafanyika Jijini Dar.
![](http://3.bp.blogspot.com/-62t01xO_AD8/VR4gyxFaaII/AAAAAAABqfQ/FMbx4yN-4A0/s1600/NBS%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0YJ6SUMWhIg/VR4g2KhnS9I/AAAAAAABqfY/eilwY_zZ-_w/s1600/NBS7.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UT1TxisPbII/VR4g5PafyWI/AAAAAAABqfg/cSjhqyemXgg/s1600/NBS%2B2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-H3yK9HZUKjw/U_8Tw9CETlI/AAAAAAAGKq4/Zdf2fqmuGMk/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-W9RCD7nDxY4/VWM_yX_44dI/AAAAAAAHZuM/v7370usmvUw/s72-c/unnamed%2B%252869%2529.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-W9RCD7nDxY4/VWM_yX_44dI/AAAAAAAHZuM/v7370usmvUw/s640/unnamed%2B%252869%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6iNerrvL8XM/VWM_yee_qGI/AAAAAAAHZuQ/mLmH226CuGg/s640/unnamed%2B%252871%2529.jpg)