Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sera ,Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias Kabunduguru, Prof. Samuel Wangwe, Katibu Mtendaji -Tume ya Mipango Dkt. Phillip Mpango na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika. Katibu Mkuu Kiongozi wa Uganda Bw. John Mitala akiwasilisha mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoendelea jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola kufanyika jijini Dar es salaam
10 years ago
MichuziMKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA KUFUNGULIWA LEO DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo14 Jul
MKUTANO WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA JUMUIYA YA MADOLA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Rais Kikwete afungua mkutano wa wakuu wa Utumishi wa Umma wa jumuiya ya madola jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo.
Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....
10 years ago
Michuzi13 Jul
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA K U FUNGULIWA LEO
Katibu Wakuu na watendaji mbalimbali wakijadili wakati wa kikao: kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka, akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimneti ya...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.
Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
Mkutano wa Takwimu wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wafanyika jijini Dar Es Salaam
10 years ago
VijimamboMkutano wa Takwimu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Wafanyika Jijini Dar.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10