Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashindano ya mpira wa kikapu yaendelea

Mashindano ya mpira wa kikapu ya klabu bingwa kutoka kanda ya tano barani Afrika yanaendelea mjini Kigali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA 16 YA MPIRA WA KIKAPU (BASKETBALL) KWA MAJIJI YA AFRIKA KANDA YA TANO KUFANYIKA DAR ES SALAAM MEI

Mashindano ya 16 ya Mpira wa Kikapu kwa Majiji ya Afrika Kanda ya Tano na Majiji alikwa kutoka Kanda zingine za Afrika yanatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mashindano yatafanyika:- Mwezi wa Mei, Tarehe 6 hadi 11 Mwaka 2014.   Majiji yanayotarajiwa kushiriki ni Dar es Salaam (wenyeji), Mwanza, Mbeya, Arusha na Tanga kutoka Tanzania. Nairobi, Mombasa na Kisumu kutoka Kenya. Kampala na Mukomo kutoka Uganda.  Majiji mengine ni  Bujumbura – Burundi na Kigali-Rwanda. ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Michuano mpira wa kikapu kuanza Tunisia

Michuano ya mpira wa kikapu kwa mataifa ya Afrika maarufu kama Afro basket yataanza kutimua vumbi leo nchini Tunisia.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Bondia Manny Pacquiao akicheza ligi ya mpira wa kikapu Ufilipino

Bondia Manny Pacquiao aliweka gloves pembeni na kuonesha kipaji chake kingine na kuishangaza dunia kwa kucheza mpira wa kikapu Jumapili iliyopita ikiwa imebaki kama mwezi mmoja kabla hajapanda ulingoni kutetea mkanda wa WBO. Pacquiao aliichezea KIA Sorento inayoshiriki ligi ya kikapu nchini Ufilipo. Pacquiao mwenye umri wa miaka 35 alicheza kwa dakika saba, na kuisaidia […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu wamkumbuka Kobe Bryant kama mtu aliyewapa hamasa

Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu kutoka maeneo tofauti ya dunia wanatuambia ni kwa namna gani Kobe Bryant alikua muhimu kwao.

 

10 years ago

Bongo5

Mambo ya kujifunza kwenye mpira wa kikapu na ukayatumia kwenye maisha ya kawaida

Kuna vitu vingi unaweza kujifunza kuhusu maisha kutoka kwenye michezo mbalimbali. Na moja ya michezo ambayo inatumia kanuni nzuri za msingi zinazoendana na maisha halisi ni mpira wa kikapu. Wengi wanapenda kuita basketball. Kwenye mchezo wa mpira wa kikapu unafundisha umuhimu wa kudumisha uwiano kwenye maisha yetu ya kila siku. Jifunze na kushika mambo ya […]

 

9 years ago

Michuzi

MSHAURI WA CHAMA CHA DUNIA CHA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU AKUTANA NA UONGOZI WA SEKTA YA MICHEZO NCHINI

 Mkurugenzi Idara ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kulia) akizungumza na  Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kushoto) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo ya mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam. Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kulia) akizungumza na maafisa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani