Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo ya kujifunza kwenye mpira wa kikapu na ukayatumia kwenye maisha ya kawaida

Kuna vitu vingi unaweza kujifunza kuhusu maisha kutoka kwenye michezo mbalimbali. Na moja ya michezo ambayo inatumia kanuni nzuri za msingi zinazoendana na maisha halisi ni mpira wa kikapu. Wengi wanapenda kuita basketball. Kwenye mchezo wa mpira wa kikapu unafundisha umuhimu wa kudumisha uwiano kwenye maisha yetu ya kila siku. Jifunze na kushika mambo ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mashindano ya mpira wa kikapu yaendelea

Mashindano ya mpira wa kikapu ya klabu bingwa kutoka kanda ya tano barani Afrika yanaendelea mjini Kigali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Michuano mpira wa kikapu kuanza Tunisia

Michuano ya mpira wa kikapu kwa mataifa ya Afrika maarufu kama Afro basket yataanza kutimua vumbi leo nchini Tunisia.

 

10 years ago

Africanjam.Com

MPIRA UTAKAOTUMIKA KWENYE LIGI YA UINGEREZA "EPL" 2015/16

Imebaki miezi miwili barani Ulaya kabla ya Ligi mbalimbali kuanza kutimua vumbi, mpira rasmi utakaotumika kwenye ligi ya England tayari umefahamika.Mpira huo umebuniwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya Kimarekani ya Nike ambapo utakuwa unafahamika kwa jina la Nike Ordem na umetengenezwa kwa kuzingatia teknolojia ya kisasa ambayo inaendana na mabadiliko ya mchezo wa soka.

Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking...

 

10 years ago

Vijimambo

KADI NYEUPE HIYO INAKUJA KWENYE MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU

Ni mpango wa Rais wa UEFA Michel Platini alisema hayo kwenye mkutano wa michezo uliofanyika Dubai, Bwana Platini alitoa ufafanuzi wa jinsi kadi hiyo itakavyo tumika mcheza akifanya kosa na kupewa kadi nyeupe atatakiwa kutoka nje kwa dk 10 na kurudi tena uwanjani. Kadi ya njano na nyekundu zitabakia vile vile na makosa yake kama mwanzo kabla ya kadi nyeupe.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kinachoendelea kwenye mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu barani Ulaya

Barani Ulaya, ligi mbalimbali za soka zinaendelea. Nchini Ujerumani, Bundesliga inaendelea, Italia Serie A imepamba moto na huko Uingereza Premier League haikamatiki. Hapa chini ni ratiba za michuano mbalimbali barani Ulaya.

Untitled

Mamilioni ya wapenzi wa Soka duniani kote wanatazama michuano hiyo kupita Televisheni, wachache kupitia tovuti mbalimbali za kulipia. Vipi kama nikikuonyesha njia rahisi ya kuzitazama kwenye simu yako ya mkononi, bila kulipia chochote yaani BURE?

Kama una simu ya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Bondia Manny Pacquiao akicheza ligi ya mpira wa kikapu Ufilipino

Bondia Manny Pacquiao aliweka gloves pembeni na kuonesha kipaji chake kingine na kuishangaza dunia kwa kucheza mpira wa kikapu Jumapili iliyopita ikiwa imebaki kama mwezi mmoja kabla hajapanda ulingoni kutetea mkanda wa WBO. Pacquiao aliichezea KIA Sorento inayoshiriki ligi ya kikapu nchini Ufilipo. Pacquiao mwenye umri wa miaka 35 alicheza kwa dakika saba, na kuisaidia […]

 

9 years ago

MillardAyo

FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video)

December 30 Ligi Kuu ya Hispania iliendelea kwa michezo 9 kupigwa katika viwanja mbalimbali, huu ni muendelezo wa mechi za Laliga ambapo ilikuwa imesimama kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christmas, hivyo December 30 iliendelea kama kawaida. Miongoni mwa michezo iliyochezwa December 30 ni mechi kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Betis. Huu ni […]

The post FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani