MPIRA UTAKAOTUMIKA KWENYE LIGI YA UINGEREZA "EPL" 2015/16
![](http://2.bp.blogspot.com/-I5gQ8gm2uto/VYv6R22bdnI/AAAAAAAACPg/oVl75YDrn80/s72-c/Nike-Ordem-2015-16-match-ball-premier-league.jpg)
Imebaki miezi miwili barani Ulaya kabla ya Ligi mbalimbali kuanza kutimua vumbi, mpira rasmi utakaotumika kwenye ligi ya England tayari umefahamika.Mpira huo umebuniwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya Kimarekani ya Nike ambapo utakuwa unafahamika kwa jina la Nike Ordem na umetengenezwa kwa kuzingatia teknolojia ya kisasa ambayo inaendana na mabadiliko ya mchezo wa soka.
Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-_ruX8qqscNs/VYHCX9gGrSI/AAAAAAAACH8/C-XM5B3yFw0/s72-c/Premier_League_2013-14_slider.png)
RATIBA KAMILI YA LIGI KUU YA UINGEREZA "EPL" 2015/16
![](http://2.bp.blogspot.com/-_ruX8qqscNs/VYHCX9gGrSI/AAAAAAAACH8/C-XM5B3yFw0/s400/Premier_League_2013-14_slider.png)
Ratiba ya msimu mzima wa EPL 2015-2016
August 8Bournemouth v Aston VillaArsenal v West Ham UnitedChelsea v Swansea CityEverton v WatfordLeicester City v SunderlandManchester United v Tottenham...
10 years ago
BBCSwahili18 Oct
Mechi za ligi ya EPL nchini Uingereza
10 years ago
Jamtz.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-8HDUM2GN2d4/VDecbEf5MLI/AAAAAAAABNI/vbImEVFAwok/s72-c/4076.jpg)
11 years ago
BBCSwahili14 May
Brazuka:Mpira utakaotumika Brazil
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.
Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.
Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;
Golikipa
Jack Butland -Stoke...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QG8AaR88Z0U/VIw4YtGyYBI/AAAAAAAG2_0/1CI8uT0Gr2w/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
TAMISEMI YAWEKA BAYANA utaratibu utakaotumika hapo kesho wakati wa upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa
![](http://4.bp.blogspot.com/-QG8AaR88Z0U/VIw4YtGyYBI/AAAAAAAG2_0/1CI8uT0Gr2w/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
9 years ago
MillardAyo30 Dec
TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]
The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili27 Sep
Taathimini ya ligi kuu ya EPL