Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinachoendelea kwenye mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu barani Ulaya

Barani Ulaya, ligi mbalimbali za soka zinaendelea. Nchini Ujerumani, Bundesliga inaendelea, Italia Serie A imepamba moto na huko Uingereza Premier League haikamatiki. Hapa chini ni ratiba za michuano mbalimbali barani Ulaya.

Untitled

Mamilioni ya wapenzi wa Soka duniani kote wanatazama michuano hiyo kupita Televisheni, wachache kupitia tovuti mbalimbali za kulipia. Vipi kama nikikuonyesha njia rahisi ya kuzitazama kwenye simu yako ya mkononi, bila kulipia chochote yaani BURE?

Kama una simu ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo jana.Timu za Mpwapwa Academy na Kota FC zikizubiri kukaguliwa na mgeni rasmi. Katika mchezo huo wa ufunguzi Kota FC wqalishinda goli 3-2.
DC akikaribishwa kusalimiana na wachezaji.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KWA COLLEGE NA SCHOOL ZA UDSM YAPAMBO MOTO


Wachezaji wa timu ya COSS (College of Social Science) ya chuo kikuu cha Dar es salaam kwenye picha ya pamoja wakati wa kujiandaa kucheza. Kikosi hiki ndicho kinachoongoza kundi B la wanaoshindana chuoni hapo.
*       SJMC (School of Journalism & Mass communication)  wanaongoza kilele cha group A*       COSS (College of Social Science)  wanaongoza kilele cha group B*       Mechi zingine nne kuendelea leo hadi Jumamosi
Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA SHIRKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF).

MADADI MKURUGENZI MPYA WA UFUNDI TFF.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Salum Madadi kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Ufundi.
Uteuzi huo umefanya na Kamati ya Utendaji katika kikao chake cha dharura kilichofanyika jana (Machi 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi, Madadi alikuwa akikaimu nafasi hiyo tangu Januari mwaka huu baada ya Mkurugenzi wa Ufundi aliyekuwepo kumaliza mkataba wake Desemba 31 mwaka jana.
Madadi mwenye leseni A ya ukocha...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA ( TFF)

Rais wa Baraza la Vyama vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Leodgar Tenga leo ametangaza kuanza kwa michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Julai 18, 2015 na kumalizika Agosti 2 mwaka huu jijii Dar es salaam.
CECAFA YATOA RATIBA YA KAGAME 2015.
Rais wa Baraza la Vyama vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Leodgar Tenga leo ametangaza kuanza kwa michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Julai 18, 2015 na kumalizika Agosti 2 mwaka huu jijii Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA MBALIMBALI KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) LEO

TWIGA STARS YAENDELEA KUJIFUA ZANZIBARKikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kinaendelea na mazoezi katika uwanja wa Amani na uwanja wa Mafunzo vilivyopo kisiwani Zanzibar. Twiga Stars iko kambini kisiwani Zanzibar kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) zitakazofanyika nchini Congo- Brazzavile kuanzia Septemba 04 – 19 mwaka huu. Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage ameendelea kukinoa kikosi chake cha wachezaji 25 waliopo kambini kisiwani...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA SHIRISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

KIKOSI KAZI KUSHUGHULIKIA TIKETI ZA ELEKTRONIKI Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB zimeunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kushughulikia matumizi ya tiketi za elektroniki ambayo yalisimamishwa kutoka na changamoto mbalimbali zilizokuwa zimejitokeza.
TFF na CRDB zimefanya kikao cha pamoja jana (Machi 20 mwaka huu) kuhusu masuala ya tiketi za elektroniki na kukubaliana kuunda kikosi kazi hicho kwa ajili ya uboreshaji matumizi ya mfumo huo.
Kikosi...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)


SMALL BOYS, MSHIKAMANO, PACHOTO ZAPIGWA FAINI RCL.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimezipiga faini ya kati ya sh. 300,000 na sh. 500,000 klabu za Mshikamano FC, Pachoto Shooting Stars, Town Small Boys na Kiluvya United kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo viongozi, wachezaji na washabiki kufanya vurugu kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) iliyomalizika hivi karibuni.
Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Mashindano ya TFF iliyokutana juzi (Juni 23 mwaka huu)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani