Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo jana.Timu za Mpwapwa Academy na Kota FC zikizubiri kukaguliwa na mgeni rasmi. Katika mchezo huo wa ufunguzi Kota FC wqalishinda goli 3-2.
DC akikaribishwa kusalimiana na wachezaji.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kinachoendelea kwenye mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu barani Ulaya

Barani Ulaya, ligi mbalimbali za soka zinaendelea. Nchini Ujerumani, Bundesliga inaendelea, Italia Serie A imepamba moto na huko Uingereza Premier League haikamatiki. Hapa chini ni ratiba za michuano mbalimbali barani Ulaya.

Untitled

Mamilioni ya wapenzi wa Soka duniani kote wanatazama michuano hiyo kupita Televisheni, wachache kupitia tovuti mbalimbali za kulipia. Vipi kama nikikuonyesha njia rahisi ya kuzitazama kwenye simu yako ya mkononi, bila kulipia chochote yaani BURE?

Kama una simu ya...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KWA COLLEGE NA SCHOOL ZA UDSM YAPAMBO MOTO


Wachezaji wa timu ya COSS (College of Social Science) ya chuo kikuu cha Dar es salaam kwenye picha ya pamoja wakati wa kujiandaa kucheza. Kikosi hiki ndicho kinachoongoza kundi B la wanaoshindana chuoni hapo.
*       SJMC (School of Journalism & Mass communication)  wanaongoza kilele cha group A*       COSS (College of Social Science)  wanaongoza kilele cha group B*       Mechi zingine nne kuendelea leo hadi Jumamosi
Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam...

 

9 years ago

Vijimambo

WADHAMINI WA LIGI YA BODABODA KIPUNGUNI "B" MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WAFUNGUA RASMI MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU

   Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni 'B' kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujiunga  Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Josephat Sylvery Tirumanywa akizungumza na wananchi mbalimbali waliofanikiwa kuhudhuria ufunguzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa madereva bodaboda wakiume maeneo ya Kipunguni 'B' katika...

 

9 years ago

GPL

WADHAMINI WA LIGI YA BODABODA KIPUNGUNI "B" MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WAFUNGUA RASMI MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU‏

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni 'B' kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujiunga Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Josephat Sylvery Tirumanywa akizungumza na wananchi mbalimbali waliofanikiwa kuhudhuria ufunguzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015. Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali nchini. Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amemhamisha Luteni Edward Ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida kwenda kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa...

 

5 years ago

Michuzi

ZIFAHAMU SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU .


1. UWANJA


Kwa kawaida uwanja wa mpira Wa miguu huwa na Urefu Wa mita 100  –  120  na Upana Wa mita  50 – 60 . Kwa kawaida Uwanja Wa mpira Wa miguu Una alama za mistari ambazo ni pamoja na


– Mstari mrefu pembeni mwa Uwanja Unaoashiria mwisho Wa Uwanja .

 – Mstari mrefu Wa Katikati Unaogawa Uwanja katika pande 2 Zilizolingana .katikati ya Uwanja kuna mduara wenye nusu kipenyo cha mita 9.15.

 – Mstari mrefu Upande Wa goli Unaoashiria mwisho Wa Uwanja upande Wa goli .

 – Pia kuna nusu duara katika...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA MPWAPWA MHE. ANTH0NY MAVUNDE

Mhe. Athony Mavunde akila kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (Hayupo Pichani) Mei 29,2015 Mhe. Athony Mavunde akitia saini hati ya kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa Mei 29,2015 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Athony Mavunde (kushoto) akipongezwa na baba yake mzazi Ndg. Peter Mavunde mara baada ya kula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya Mei 29,2015 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)


TAARIFA YA KAMATI YA UTENDAJIKikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokutana leo kimepitia na kutoa maamuzi yafuatayo:
(i)           Kila mkoa utakua na kituo cha kukuza na kuendeleza vipaji vya watoto (Regional Sports Centre). Mapato ya mchezo wa Ngao ya Hisani msimu huu yatatumika kuagiza kontena la vifaa (mipira size 3, 4, bips na cones) ambavyo vitasambazwa katika vituo vyote vya michezo vya mikoa.
(ii)         Ubovu wa viwanja – Kamati ya Utendaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani