Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KADI NYEUPE HIYO INAKUJA KWENYE MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU

Ni mpango wa Rais wa UEFA Michel Platini alisema hayo kwenye mkutano wa michezo uliofanyika Dubai, Bwana Platini alitoa ufafanuzi wa jinsi kadi hiyo itakavyo tumika mcheza akifanya kosa na kupewa kadi nyeupe atatakiwa kutoka nje kwa dk 10 na kurudi tena uwanjani. Kadi ya njano na nyekundu zitabakia vile vile na makosa yake kama mwanzo kabla ya kadi nyeupe.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MCHEZO WA FAINALI MPIRA WA MIGUU W/MJINI &W/MAGHARIBI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi kombe la Mchezo wa fainali ya Zanzibar Cup 2015 Mpira wa Miguu Nahodha wa Timu ya Wilaya ya Mjini Abubakar  Ameir Omar uliochezwa katika uwanja wa Amaan Studiuam Mjini Unguja jana,Mchezo huo ulimalizika kwa Wilaya ya Mjini kuwafunga W/Magharibi kwa matuta 3-1.[Picha na Ikulu.]

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHI JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi  wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania  Ubeligiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kinachoendelea kwenye mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu barani Ulaya

Barani Ulaya, ligi mbalimbali za soka zinaendelea. Nchini Ujerumani, Bundesliga inaendelea, Italia Serie A imepamba moto na huko Uingereza Premier League haikamatiki. Hapa chini ni ratiba za michuano mbalimbali barani Ulaya.

Untitled

Mamilioni ya wapenzi wa Soka duniani kote wanatazama michuano hiyo kupita Televisheni, wachache kupitia tovuti mbalimbali za kulipia. Vipi kama nikikuonyesha njia rahisi ya kuzitazama kwenye simu yako ya mkononi, bila kulipia chochote yaani BURE?

Kama una simu ya...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Lionel Messi aonesha control hatari ya mpira kwenye kipindi cha mchezo cha Japan

Lionel Messi anajulikana kwa uwezo wa kuchezea mpira na control za hatari. Kipindi cha michezo cha Japan kilitaka kujaribu zaidi uwezo wake kwa kumtaka aupige mpira kwenye nguzo yenye urefu wa futi 60 na kisha kuupokea upande wa pili. Akionesha kufanya hivyo kwa rahisi kabisa, Messi aliupiga mpira huo mara mbili na kuucontrol bila wasiwasi.

 

5 years ago

Michuzi

ZIFAHAMU SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU .


1. UWANJA


Kwa kawaida uwanja wa mpira Wa miguu huwa na Urefu Wa mita 100  –  120  na Upana Wa mita  50 – 60 . Kwa kawaida Uwanja Wa mpira Wa miguu Una alama za mistari ambazo ni pamoja na


– Mstari mrefu pembeni mwa Uwanja Unaoashiria mwisho Wa Uwanja .

 – Mstari mrefu Wa Katikati Unaogawa Uwanja katika pande 2 Zilizolingana .katikati ya Uwanja kuna mduara wenye nusu kipenyo cha mita 9.15.

 – Mstari mrefu Upande Wa goli Unaoashiria mwisho Wa Uwanja upande Wa goli .

 – Pia kuna nusu duara katika...

 

10 years ago

Michuzi

DC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo jana.Timu za Mpwapwa Academy na Kota FC zikizubiri kukaguliwa na mgeni rasmi. Katika mchezo huo wa ufunguzi Kota FC wqalishinda goli 3-2.
DC akikaribishwa kusalimiana na wachezaji.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

Leo jumapili tarehe 24, Mei 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume.
Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo:
CLUB LICENCING (Leseni za vilabu)Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu kwa msimu wa 2015/16 kwa kuwasilisha fomu za maombi ya Leseni za vilabu TFF. Klabu ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani