Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHEZO WA FAINALI MPIRA WA MIGUU W/MJINI &W/MAGHARIBI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi kombe la Mchezo wa fainali ya Zanzibar Cup 2015 Mpira wa Miguu Nahodha wa Timu ya Wilaya ya Mjini Abubakar  Ameir Omar uliochezwa katika uwanja wa Amaan Studiuam Mjini Unguja jana,Mchezo huo ulimalizika kwa Wilaya ya Mjini kuwafunga W/Magharibi kwa matuta 3-1.[Picha na Ikulu.]

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KADI NYEUPE HIYO INAKUJA KWENYE MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU

Ni mpango wa Rais wa UEFA Michel Platini alisema hayo kwenye mkutano wa michezo uliofanyika Dubai, Bwana Platini alitoa ufafanuzi wa jinsi kadi hiyo itakavyo tumika mcheza akifanya kosa na kupewa kadi nyeupe atatakiwa kutoka nje kwa dk 10 na kurudi tena uwanjani. Kadi ya njano na nyekundu zitabakia vile vile na makosa yake kama mwanzo kabla ya kadi nyeupe.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHI JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi  wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania  Ubeligiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MANISPAA YA LINDI MJINI WAPEWA ELIMU YA CHF

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoa wa Lindi,Fortunata Raymond akitoa elimu ya umuhimu na faida ya kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),kwa viongozi wa chama cha mpira wa miguu na vilabu vilivyopo Manispaa ya Lindi mjini,ambapo aliwataka kutambua na kuchangamkia fursa ya kujiunga na mfuko huo kwani ni wa gharama nafuu,utakaowawezesha kupata huduma za matibabu na familia zao kwa kuchangia mara moja kwa mwaka mzima,elimu hiyo ilifanyika kwenye Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi....

 

9 years ago

MillardAyo

Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18)

Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda kuangalia mpira katika ratiba zake, licha ya kuwa ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani au ndio mchezo maarufu zaidi. Kuna baadhi ya matukio huwezi kutamani […]

The post Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

ZIFAHAMU SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU .


1. UWANJA


Kwa kawaida uwanja wa mpira Wa miguu huwa na Urefu Wa mita 100  –  120  na Upana Wa mita  50 – 60 . Kwa kawaida Uwanja Wa mpira Wa miguu Una alama za mistari ambazo ni pamoja na


– Mstari mrefu pembeni mwa Uwanja Unaoashiria mwisho Wa Uwanja .

 – Mstari mrefu Wa Katikati Unaogawa Uwanja katika pande 2 Zilizolingana .katikati ya Uwanja kuna mduara wenye nusu kipenyo cha mita 9.15.

 – Mstari mrefu Upande Wa goli Unaoashiria mwisho Wa Uwanja upande Wa goli .

 – Pia kuna nusu duara katika...

 

10 years ago

Michuzi

DC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo jana.Timu za Mpwapwa Academy na Kota FC zikizubiri kukaguliwa na mgeni rasmi. Katika mchezo huo wa ufunguzi Kota FC wqalishinda goli 3-2.
DC akikaribishwa kusalimiana na wachezaji.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

Leo jumapili tarehe 24, Mei 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume.
Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo:
CLUB LICENCING (Leseni za vilabu)Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu kwa msimu wa 2015/16 kwa kuwasilisha fomu za maombi ya Leseni za vilabu TFF. Klabu ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani