Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHAURI WA CHAMA CHA DUNIA CHA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU AKUTANA NA UONGOZI WA SEKTA YA MICHEZO NCHINI

 Mkurugenzi Idara ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kulia) akizungumza na  Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kushoto) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo ya mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam. Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kulia) akizungumza na maafisa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aupongeza Uongozi wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar Bibi Saada Hamad Ali akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Medali 32 walizopata wachezaji wa Zanzibar katika mashindano ya Kitaifa Mkoani Kibaha.Balozi Seif akimvisha Medali Mchezaji Fahad Juma Khamis ambae alishinda kwenye mashindano ya Kitaifa yaliyofanyika Mkoani Pwani Tanzania Bara.Mchezaji Huzaima Haji Ali wa Timu ya Mchezo wa Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar akivishwa Medali na...

 

10 years ago

Michuzi

Francois Botha na rais wa chama cha ngumi cha dunia cha WBF, Howard Goldberg kuwasili nchini tayari kwa kusimamia pambano la masumbwi machi 27

 Bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa juu, Francois Botha na rais wa chama cha ngumi cha dunia cha WBF, Howard Goldberg wanatarajiwa kuwasili nchini kesho Machi 23, tayari kwa  kusimamia pambano la Mohamed Matumla Jr na Wang Xiu Hua wa China. 
Botha atawasili nchi kwa mara ya pili kwa mualiko maalumu wa Kampuni ya Hall Of Fame inayoandaa mapambano ya ngumi ndani na nje ya nchi. Nguli huyo wa masumbwi anatarajiwa kuwasili saa 12 jioni na ndege ya Shirika la ndege la Afrika Kusini sambamba na...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu Chama cha Baseball Tanzania (TABSA) Alpherio Nchimbi (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mashindano ya Kitaifa ya mchezo wa baseball yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika shule ya Sekondari ya Azania iliyopo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa mchezo wa Baseball Africa (AFAB) Shinya Tomonari na Kutoka kulia ni Afisa Michezo Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Richard Mganga. Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WAPATHOLOJIA TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Chama cha Wapatholojia wa Tanzania walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya Kujitambulisha kwa Rais leo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Chama hicho Dk. Charles MassambuRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Chama cha Wapatholojia wa Tanzania walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya Kujitambulisha kwa Rais leo (wa pili kulia)...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Lionel Messi aonesha control hatari ya mpira kwenye kipindi cha mchezo cha Japan

Lionel Messi anajulikana kwa uwezo wa kuchezea mpira na control za hatari. Kipindi cha michezo cha Japan kilitaka kujaribu zaidi uwezo wake kwa kumtaka aupige mpira kwenye nguzo yenye urefu wa futi 60 na kisha kuupokea upande wa pili. Akionesha kufanya hivyo kwa rahisi kabisa, Messi aliupiga mpira huo mara mbili na kuucontrol bila wasiwasi.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WAFUGAJI LEO.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya uongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania, wakati walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Juni 02,2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo.(Picha na OMR)Na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais akutana na uongozi wa Chama cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar

a3

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam jana. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Mcheche Masaju Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabirika Mushi na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw. Emmanuel Achayo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati akiongea na viongozi...

 

9 years ago

Michuzi

Amina Karuma achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini

Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini (TWFA)  umemalizika ambapo Amina Karuma amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho, kufuatia uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es salaam.Nafasi ya katibu msaidizi imekwenda kwa mwandishi wa habari za michezo Someo Ng’itu, na nafasi ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya TFWA imekwenda kwa Debora Mkemwa na Theresia Mng’ongo.Mgeni rasmi katika uchaguzo huo alikuwa ni katibu wa TFF, Mwesigwa Selestine ambapo na uchaguzi ulisimamiwa na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI NAPE NNAUYE AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA TBC OFISINI KWAKE LEO

 Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) walipimtembelea ofisini kwake.Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwasikiliza Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) walipimtembelea ofisini kwake. (Picha na Benjamin Sawe –WHUSM)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani