KHA! UNAMZALISHA KAMA UNATAKA KUTENGENEZA TIMU YA MPIRA?
![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEwrb-mAQBNx60NwYRMOfXcHNp76IpFBaNjStx4*ckVjcq13zi2SjC6fum9-gt*qZr2iPc5OCQiieTRqZiXfZVyB/article23067411936CB27000005DC94_634x504.jpg?width=650)
Haya tena mamie mwari ndo naingia tena, najua umenisubiri sana baada ya wiki jana kukupeni mambo ya kuandaa mahanjumati. Nataka kukwambia mwari wangu hakuna kitu muhimu ndani ya nyumba kama kuandaa chakula cha mumeo kwa utulivu ili aamini cha nyumbani kitamu, siyo kumlipulia na kuona chakula kwa mama lishe ndicho kitamu. Jamani mwari wangu tuone aibu unapoamua kumpikia mumeo, tuliza akili yote kwenye chungu kuhakikisha nyanya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 May
Timu ya mpira wa pete kujifua Zanzibar
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Timu ya mpira wa pete Ikulu yawapa kichapo Ukaguzi
Wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ikulu wakiwa wamejipanga tayari kuanza mechi yao dhidi ya timu ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali uliochezwa leo uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Na Eleuteri Mangi –MAELEZO
Timu ya mpira wa pete ya Ikulu imeendeleza kichapo kwa timu pinzani inyokutana nazo katika mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mjini Morogoro.
Ikiwa imekamilika katika idara zote, timu ya Ikulu imetakata vilivyo kwa kuwafunga Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Timu ya Ikulu mpira wa miguu yatinga hatua ya pili SHIMIWI
Wachezaji wa timu ya Ikulu wakiwa pamoja kuomba dua kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya timu ya RAS Simiyu katika mashindano ya SHIMIWI leo uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Timu ya mpira wa miguu ya Ikulu imedhihirisha ubora wake katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi inayoshirikisha Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kumaliza mechi nne katika kundi B bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa.
Ubora huo unaifanya timu ya Ikulu kuwa ni timu...
10 years ago
Mwananchi11 Jan
Ushabiki wetu wa timu za mpira za kizungu unatupa mtihani gani ?
11 years ago
Bongo511 Jul
Teknolojia: LG kutengeneza TV nyembamba kama karatasi zenye uwezo wa kuviringishwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
VIDEO: JINSI YA KUTENGENEZA JUISI YA MAJANI YA PAPAI KAMA DAWA YA DENGUE!
10 years ago
Michuzi08 Dec
TTB na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza
Kwenye tukio hilo ambalo lilihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Balozi Peter...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/--pIUveqLADc/VJW_l751IuI/AAAAAAAG4wM/URuOQWASPK8/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU
![](http://2.bp.blogspot.com/--pIUveqLADc/VJW_l751IuI/AAAAAAAG4wM/URuOQWASPK8/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-mwLKFaaG260/VJW_lyHsWCI/AAAAAAAG4wI/xIzz8jk0GXw/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
9 years ago
MichuziGEPF YAIPIGA JEKI TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA STAKISHARI JIJINI DAR ES SALAAM