GEPF YAIPIGA JEKI TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA STAKISHARI JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Aloyce Ntukamazina akikabidhi msaada wa vifaa vya michezo kwa Mwenyekiti wa timu ya Stakishari Nick Myava, jijijni Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Aloyce Ntukamazina akimkabidhi Mipira Captin wa timu ya Stakishari Ally Myambo leo jijijni Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Aloyce Ntukamazina akimkabidhi fedha kwa ajili ya kusaidia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Dewji Blog15 May
Proin Promotions yatangaza rasmi kudhamini Ligi ya mpira wa Miguu kwa Wanawake leo Jijini Dar
Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.
Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia saini katika mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi ya mpira...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Timu ya Ikulu mpira wa miguu yatinga hatua ya pili SHIMIWI
Wachezaji wa timu ya Ikulu wakiwa pamoja kuomba dua kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya timu ya RAS Simiyu katika mashindano ya SHIMIWI leo uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Timu ya mpira wa miguu ya Ikulu imedhihirisha ubora wake katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi inayoshirikisha Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kumaliza mechi nne katika kundi B bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa.
Ubora huo unaifanya timu ya Ikulu kuwa ni timu...
10 years ago
Michuzi08 Dec
TTB na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza
Kwenye tukio hilo ambalo lilihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Balozi Peter...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/--pIUveqLADc/VJW_l751IuI/AAAAAAAG4wM/URuOQWASPK8/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU
![](http://2.bp.blogspot.com/--pIUveqLADc/VJW_l751IuI/AAAAAAAG4wM/URuOQWASPK8/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-mwLKFaaG260/VJW_lyHsWCI/AAAAAAAG4wI/xIzz8jk0GXw/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M5sYIaAIdqo/VJXPUjMoHKI/AAAAAAAG4yI/X_KzVEFe81c/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
BALOZI KAMALA AKABIDHI JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI
![](http://1.bp.blogspot.com/-M5sYIaAIdqo/VJXPUjMoHKI/AAAAAAAG4yI/X_KzVEFe81c/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bG3N9aSgYVQ/Uv3pXtQxqmI/AAAAAAAFNJI/pgWzcj35flU/s72-c/photo-1.jpg)
MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bG3N9aSgYVQ/Uv3pXtQxqmI/AAAAAAAFNJI/pgWzcj35flU/s1600/photo-1.jpg)
9 years ago
MichuziSHULE YA MSINGI MBUYUNI JIJINI DAR ES SALAAM YAPIGWA JEKI
10 years ago
Vijimambo08 Dec
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/110.jpg)