Proin Promotions yatangaza rasmi kudhamini Ligi ya mpira wa Miguu kwa Wanawake leo Jijini Dar
Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.
Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia saini katika mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi ya mpira...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
GPLPROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE
Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.
Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia...
9 years ago
VijimamboWADHAMINI WA LIGI YA BODABODA KIPUNGUNI "B" MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WAFUNGUA RASMI MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU
9 years ago
GPLWADHAMINI WA LIGI YA BODABODA KIPUNGUNI "B" MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WAFUNGUA RASMI MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni 'B' kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujiunga Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Josephat Sylvery Tirumanywa akizungumza na wananchi mbalimbali waliofanikiwa kuhudhuria ufunguzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OG6Rb1AHqDc/VdMEfvsN21I/AAAAAAAC9s0/qnvk3ughdiI/s72-c/DSCF8406.jpg)
CCM YATANGAZA RASMI KIKOSI CHAKE CHA KAMPENI 2015 JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-OG6Rb1AHqDc/VdMEfvsN21I/AAAAAAAC9s0/qnvk3ughdiI/s640/DSCF8406.jpg)
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa jana Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika ...
9 years ago
MichuziGEPF YAIPIGA JEKI TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA STAKISHARI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog03 May
Proin Promotions na Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji wazindua rasmi ununuzi wa filamu za Kitanzania Online
10 years ago
VijimamboUBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI UKISHIRIKIANA NA PROIN PROMOTIONS WAZINDUA RASMI MANUNUZI YA FILAMU ZA KITANZANIA ONLINE
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania