Michuano ya dunia Mpira wa pete kuanza
Michuano ya kumi na nne ya kombe la dunia la mchezo wa pete itaanza kutimua vumbi leo katika jiji la Sydney nchini Australia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Michuano ya mpira wa pete ni Namibia.
10 years ago
StarTV15 Apr
Michuano ya mpira wa pete kufanyika Namibia.
Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania imesema inajipanga kwa ajili ya kushiriki.
Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha netball nchini Tanzania (Chaneta), timu ya taifa itachaguliwa muda wowote kwa ajili ya kuanza maandalizi. Michuano hiyo itafanyika mwezi June.
Ushiriki wa Tanzania na timu nyingine utasaidia kupanda viwango vya dunia.
Katika viwango vilivyotolewa na shirikisho la dunia (IFNA) mwezi April mwaka huu, Tanzania ipo nafasi ya...
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Michuano mpira wa kikapu kuanza Tunisia
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JWe3dXBN65E/VhLd6bFjPHI/AAAAAAADAVk/PV432man6d0/s72-c/121.jpg)
IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MMnZFVoq8T0/VWqyMNz6-pI/AAAAAAAAQf8/dQVQ3ucxLoo/s72-c/z.jpg)
STARTIMES KUANZA KUONYESHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA U20
![](http://1.bp.blogspot.com/-MMnZFVoq8T0/VWqyMNz6-pI/AAAAAAAAQf8/dQVQ3ucxLoo/s320/z.jpg)
WAPENZI wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama michuano ya kombe la dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee.
Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe 20 mwezi Juni mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani yatachuana kuwania ubingwa.
Akizungumza baada ya kupata haki miliki kutoka kwa FIFA za...
10 years ago
BBCSwahili07 May
Timu ya mpira wa pete kujifua Zanzibar
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Tanzania itafanya vyema michuano ya pete
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Timu ya mpira wa pete Ikulu yawapa kichapo Ukaguzi
Wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ikulu wakiwa wamejipanga tayari kuanza mechi yao dhidi ya timu ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali uliochezwa leo uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Na Eleuteri Mangi –MAELEZO
Timu ya mpira wa pete ya Ikulu imeendeleza kichapo kwa timu pinzani inyokutana nazo katika mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mjini Morogoro.
Ikiwa imekamilika katika idara zote, timu ya Ikulu imetakata vilivyo kwa kuwafunga Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali...
11 years ago
MichuziUTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...