Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kitimtim michuano ya Klabu Bingwa Ulaya

Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya inaendelea tena hii leo kwa timu zile zinacheza round ya kwanza.

 

11 years ago

Michuzi

Mhe Nkamia afungua michuano ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma

 Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia  katika picha ya pamoja na kikosi cha JKT  Dodoma mara baada ya kukagua vikosi hivyo.Timu hizi ndizo zilizo funguwa mashindano haya ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia  katika picha ya pamoja na Kikosi cha Police Dodoma  baada ya kukagua vikosi hivyo.Timu hizi ndizo zilizo funguwa mashindano haya ya Klabu Bingwa ya Netiboli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya mpira wa pete ni Namibia.

Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania inajiandaa kushiriki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya dunia Mpira wa pete kuanza

Michuano ya kumi na nne ya kombe la dunia la mchezo wa pete itaanza kutimua vumbi leo katika jiji la Sydney nchini Australia

 

10 years ago

StarTV

Michuano ya mpira wa pete kufanyika Namibia.

Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania imesema inajipanga kwa ajili ya kushiriki.

Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha netball nchini Tanzania (Chaneta), timu ya taifa itachaguliwa muda wowote kwa ajili ya kuanza maandalizi. Michuano hiyo itafanyika mwezi June.

Ushiriki wa Tanzania na timu nyingine utasaidia kupanda viwango vya dunia.

Katika viwango vilivyotolewa na shirikisho la dunia (IFNA) mwezi April mwaka huu, Tanzania ipo nafasi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Klabu bingwa barani Ulaya

michuano ya Klabu Bigwa barani Ulaya ,Chelsea imetoa kipigo cha mbwa mwizi .

 

11 years ago

BBCSwahili

Klabu bingwa ya dunia ni Raja au Bayern?

Fainali za klabu bingwa ya dunia zinazikutanisha Raja Casablanca ya Morocco na Bayern Munich ya Ujerumani

 

9 years ago

BBCSwahili

Droo ya Klabu Bingwa Ulaya leo

Droo ya kupanga mechi za raundi ya mtoano ya timu 16 bora zinazoshiriki klabu bingwa ulaya itapangwa leo mchana huko Nyon, Uswisi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Barcelona ndio klabu bingwa 2015

Barcelona ndio mabingwa wa dunia wa 2015 wa kombe la klabu bingwa baada ya kuilaza River Plate 0-3 katika fainali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani