Sugu ataka jimbo lake lisigawanywe
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema), ameitaka Serikali kumhakikishia kwamba hawataligawa jimbo lake kwa kuwa kufanya hivyo ni sawa na kugawa moyo wake.
Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbilinyi maarufu kama Sugu
alisema haoni sababu ya kugawa jimbo lake kwa kuwa hata wakati
anagombea alijua kwamba jimbo hilo ni kubwa.
Akijibu swali hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Uratibu na Bunge, Jenister Mhagama alisema matakwa ya kuligawa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Tundu Lissu ahofia ‘bao la mkono’ katika jimbo lake la Singida Mashariki, ataka sheria zifuatwe
Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu akizungumza kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni.(Picha na Gasper Andrew).
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKATI siku zikiwa zimesalia siku moja tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Antiphas Mughwai Lissu, ameonyesha hofu kubwa kwamba uchaguzi huo hautakuwa huru na wa haki, kwa madai kuwa Jeshi la Polisi limeandaliwa kuhakikisha...
11 years ago
GPLMWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE
10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA JIMBO LAKE
10 years ago
Mwananchi14 Jul
Sugu ataka miaka mingine mitano
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Sugu ataka wenzake wakae majimboni
MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema wabunge wanatakiwa kutambua majimboni si sehemu ya kupakimbia na wapaone kuwa ni nyumbani kwao. Alitoa kauli hiyo jana bungeni alipokuwa akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Sugu ataka michezo iwe kitega uchumi
10 years ago
GPLJIMBO LA MVOMEROTATIZO SUGU NI MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-R3reRAxCIxE/XsE5Wl_Q5fI/AAAAAAALqjs/g-HnTZwLydsn-yCvACUcAGOBZFuzYSX7wCLcBGAsYHQ/s72-c/4-1-2-768x494.jpg)
NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WADAIWA SUGU KODI YA ARDHI KUBANWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-R3reRAxCIxE/XsE5Wl_Q5fI/AAAAAAALqjs/g-HnTZwLydsn-yCvACUcAGOBZFuzYSX7wCLcBGAsYHQ/s640/4-1-2-768x494.jpg)
Naibu Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Iringa (IRUWASA) Gilbert Kayange baada ya kumpatia taarifa inayoonesha kiasi cha kodi ya pango la ardhi inachodaiwa Mamlaka hiyo wakati wa zoezi lake la kuwafikia wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi katika mkoa wa Iringa tarehe 16 Mei 2020. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/3-7.jpg)
Naibu Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi...
10 years ago
Habarileo31 Jul
Saliboko ataka shauri lake liahirishwe kusikilizwa
MKURUGENZI Mtendaji wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko, ameliomba Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuahirisha kusikiliza shauri lake, kwa kuwa anakabiliwa na kesi inayofanana na shauri hilo ya jinai katika Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam.