Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslimu na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.  Diwani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mwakilishi Jimbo la Kiembe Samaki atimiza ahadi za Kampeni

DSC_0391

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (wakatikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe Samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia  Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslim na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.

DSC_0393

Diwani wa Jimbo la Kiembe samaki Bw. Gharib Mohamed Addy akizungumza na...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWANADI WAGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI JIMBO LA KIEMBE SAMAKI

Baadhi ya Wanachama wa CCM wa Majimbo ya Kiembe Samaki na Chukwani wakiwa katika mkutano wa Kampeni wa Kuwanadi Wagombea nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa Majimbo hayo uliohutubiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni ya CCM Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.  Balozi Seif akimnadi Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kiembe Samaki kupitia Chama cha Mapinduzi Nd. Ibrahin Raza kwenye uwanja wa michezo hapo Kiembe Samaki Wilaya ya Magharibi “B”.
Balozi Seif akimnadi Mgombea nafasi ya...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA FUONI ZANZIBAR ATIMIZA AHADI ZAKE KWA KITUO CHA AFYA FUONI.

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe A bass Ali Hassan Mwinyi, akitembelea Kituo cha Afya cha Fuoni Zanzibar kinachotowa huduma kwa Wananchi wa Jimbo hilo na jirani wakati akitimiza ahadi yake kwa kutuo hicha, akipata maelezo kutokwa kwa mdhamini wa kituo hicho Muuguzi wa Afya ya Jamii Bi Mwaka Pandu Makame akitowa maelezo ya eneo lao la kuchomea taka za kituo hicho.Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Adass Mwinyi akitembezwa katika kituo hicho na Madaktari wa Kituo hicho, akiwa katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKILISHI WA KIKWAJUNI MHE MAHMOUD ATOWA ELIMU YA KATIBA MPYA KWA WANANCHI WA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmoud Mussa akizungumza na Viongozi wa UWT wa Jimbo hilo kutokana na kuielewa Katiba Mpya iliyopendkezwa na kusoma baadhi ya Ibara hizo na kutowa ufafanuzi wake, mkutano huo umefanyika katika Tawi la CCM Kilimani. Mhe Mahmoud akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Viongozi wa UWT wa Jimbo la Kikwajuni na kuwataka kuisoma Katiba hiyo mpya iliopendekezwa na kutowa elimu juu ya Katiba hiyo kwa Wananchi wa Shehia zao.Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.

Daktari Dhamana wa Kituo cha Afya Fuoni Said Fadhili Abass akizungumza wakati wa mkutano huo na Mbunge wa Jimbo la fuoni na kumshukuru kwa msaada wake huo kwa Kituo chao. na kusema dawa hizo zitatumika kwa wananchi wa Jimbo hilo wanaofika kituoni hapa kupata huduma mbalimbali za Afya.  Wauguzi wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA JIMBO LAKE


 Baadhi ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya Sh. Mil 60  Mbunge wa Jimbo la  Temeke, Abbas Mtemvu akikabidhi madawati na  Mkuu wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) , Samuel Ng'andu, Dar es Salaam jana, baada ya mbunge huyo kuamua kununua madawati 270 kwa ajili ya shule za sekondari zilizopo Jimboni kwake akiongozana na...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni aanza Kutekeleza Ahadi Zake kwa Wananchi wa Jimbo la Chumbuni kwa Ujenzi wa Ukuta Kituo cha Afya Chumbuni

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar na Kamanda wa Vijana Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwahutubia Vijana wa UVCCM Tawi la Chumbuni wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa Vijana Mhe Shaka Hamdu Shaka kutembelea Jumuiya za Vijama katika Majimbo ya Zanzibar.Vijana wa CCM wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa mkutano ziara ya Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka,mkutanom huo wa Vijana umefanyika tawi la CCM Chumbuni KarakanaMbunge wa Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwakilishi Jimbo la Bububu Mhe BHAA akanusha tuhuma ya gari lake kuhusika mashambulizi dhidi ya Wanachama wa CUF

Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Zanzibar Mhe Hussein Ibrahim Makungu akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tuhuma zanazoenezwa kwamba gari lake aina ya fuso kuhusika na kuwashambulia Wanachama wa CUF wakati wakirudi Mkutanoni makunduchi, Akitowa maelezo kwa waandishi wa habari katika ukumbi wa salama bwawani amesema gari hiyo iliotumika katika tukio hilo haiko katika milki yake, hiyo gari iliohusisha na tukio hilo aliiuzwa karibu sasa miaka minane na kumulikiwa na mtu mwengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani