Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakilishi Jimbo la Kiembe Samaki atimiza ahadi za Kampeni

DSC_0391

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (wakatikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe Samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia  Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslim na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.

DSC_0393

Diwani wa Jimbo la Kiembe samaki Bw. Gharib Mohamed Addy akizungumza na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslimu na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.  Diwani...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWANADI WAGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI JIMBO LA KIEMBE SAMAKI

Baadhi ya Wanachama wa CCM wa Majimbo ya Kiembe Samaki na Chukwani wakiwa katika mkutano wa Kampeni wa Kuwanadi Wagombea nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa Majimbo hayo uliohutubiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni ya CCM Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.  Balozi Seif akimnadi Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kiembe Samaki kupitia Chama cha Mapinduzi Nd. Ibrahin Raza kwenye uwanja wa michezo hapo Kiembe Samaki Wilaya ya Magharibi “B”.
Balozi Seif akimnadi Mgombea nafasi ya...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA FUONI ZANZIBAR ATIMIZA AHADI ZAKE KWA KITUO CHA AFYA FUONI.

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe A bass Ali Hassan Mwinyi, akitembelea Kituo cha Afya cha Fuoni Zanzibar kinachotowa huduma kwa Wananchi wa Jimbo hilo na jirani wakati akitimiza ahadi yake kwa kutuo hicha, akipata maelezo kutokwa kwa mdhamini wa kituo hicho Muuguzi wa Afya ya Jamii Bi Mwaka Pandu Makame akitowa maelezo ya eneo lao la kuchomea taka za kituo hicho.Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Adass Mwinyi akitembezwa katika kituo hicho na Madaktari wa Kituo hicho, akiwa katika...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.

Daktari Dhamana wa Kituo cha Afya Fuoni Said Fadhili Abass akizungumza wakati wa mkutano huo na Mbunge wa Jimbo la fuoni na kumshukuru kwa msaada wake huo kwa Kituo chao. na kusema dawa hizo zitatumika kwa wananchi wa Jimbo hilo wanaofika kituoni hapa kupata huduma mbalimbali za Afya.  Wauguzi wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News CCM Unguja Kiembe samaki ,Mahonda ,Chukwani wanaongoza baadhi ya vituo :CUF Malindi

kuchanganywa kwa form za wagombea Chukwani / Kiembe samaki kumesababisha mtafaruko na CCM kuibuka washindi watu wengine hawajapiga kura Jamani haya sio matokeo ya mwisho ni vituo tu,tusiwe na mumha mizani inaweza kulalia either side.. si […]

The post Breaking News CCM Unguja Kiembe samaki ,Mahonda ,Chukwani wanaongoza baadhi ya vituo :CUF Malindi appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond atimiza ahadi

HATIMAYE mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ ametimiza ahadi ya kuwasomesha watoto ambao walishinda shindano la kucheza mtindo wake wa ‘Ngololo’ katika sherehe alizoziandaa maalumu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani