Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI YA WAJUMBE 'WALIO WACHACHE' KATIKA KAMATI NAMBA NNE ILIYOWASILISHWA NA MHE. TUNDU LISSU!

UTANGULIZI
Mheshimiwa Mwenyekiti,
Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (‘Rasimu’) ndizo msingi ambao Rasimu yote imejengwa juu yao. Wakati Sura ya Kwanza inagusa suala la muundo wa Muungano katika ibara moja tu kati ya ibara tisa, Sura yote ya Sita inahusu ‘Muundo wa Jamhuri ya Muungano.’ Suala la Muungano na hasa Muundo wake limetawala mjadala wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH KUKINUKISHA MAISHA CLUB LEO KATIKA UTAMBULISHO WA WIMBO WAKE MPYA 'FOR YOU'

Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’.
NGULI wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila 'Q-Chillah' leo anatarajia kutambulisha ngoma yake mpya iitwayo 'FOR YOU' ndani ya Maisha Club, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ngoma hiyo imefanyika katika studio za Mazuu Records. Shoo hiyo itasindikizwa na wanamuziki BANANA ZORO,…

 

10 years ago

GPL

MBUNGE FILIKUNJOMBE ALAZAMIKA KULALA KATIKA 'PAGALE' AKITEKELEZA AHADI YA UMEME KIJIJI CHA KILONDO

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa Deo Filikunjombe akiwahutubia  wananchi wa  kijiji  cha Kilondo Ludewaa. Mbunge  Filikunjombe  akisisitiza jambo  wakati akizungumza na  wananchi wa kijiji cha Kilondo. Mwenyekiti wa kata ya  Kilondo wa Chadema Bw  Edgar Kyula  akimpongeza  mbunge wa  wa Ludewa  Deo Filikunjombe kushoto  wakati wa mkutano wake  kijijini Kilondo… ...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO‏

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani