MBUNGE FILIKUNJOMBE ALAZAMIKA KULALA KATIKA 'PAGALE' AKITEKELEZA AHADI YA UMEME KIJIJI CHA KILONDO
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kilondo Ludewaa. Mbunge Filikunjombe akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kilondo. Mwenyekiti wa kata ya Kilondo wa Chadema Bw Edgar Kyula akimpongeza mbunge wa wa Ludewa Deo Filikunjombe kushoto wakati wa mkutano wake kijijini Kilondo… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMBUNGE FILIKUNJOMBE ALAZAMIKA KULALA KATIKA 'PAGALE' AKITEKELEZA AHADI YA UMEME KIJIJI CHA KILONDO
11 years ago
GPLTOP 20 YA 'MAMA SHUJAA WA CHAKULA' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WIKIENDI HII
GRACE G.D MAHUMBUKA (46) mkazi wa Karagwe Kagera nambari yake ya ushiriki ni MS 08, ni mkulima wa shamba la ekari 18 na na mfugaji wa ng’ombe, kondoo na mbuzi. ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu anawahamasisha wana kijiji kutumia vyema mvua za kwanza na kupanda miti kwa ajili ya…
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
10 years ago
GPLWAKALI WA HIP HOP ROMA MKATOLIKI NA KALA JEREMIAH WAILETA 'NCHI YA AHADI' GLOBAL TV ONLINE
Wanamuziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki na Kala Jeremiah wakiwa katika studio za Global TV Online leo. Roma Mkatoliki (wa kwanza kulia) akijibu swali na mtangazaji wa Global TV Online, Mou Alfa (kushoto). Kati ni Kala Jeremiah. Mou Alfa (kushoto) akiwahoji wanamuziki Kala na Roma ndani ya studio za Global TV…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fmojbSGpCVY9TW54lhlj-ptX7F*gkaWxvLUUMfsGtJMtgH59svzjuFjg0jwmEqXG5NomQBFZbiGCm0rxkjtgMs/hands.in.the.air.gif?width=650)
MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…
10 years ago
GPLQ-CHILLAH KUKINUKISHA MAISHA CLUB LEO KATIKA UTAMBULISHO WA WIMBO WAKE MPYA 'FOR YOU'
Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’.
NGULI wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila 'Q-Chillah' leo anatarajia kutambulisha ngoma yake mpya iitwayo 'FOR YOU' ndani ya Maisha Club, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ngoma hiyo imefanyika katika studio za Mazuu Records. Shoo hiyo itasindikizwa na wanamuziki BANANA ZORO,…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO4qlOrfPr4386k1c84Kpnlbi4Yat0W9tBU4ofJ1YqV5mk7vJOMmC5qG6R3mjj6yRYLXjiffuika4xdMvs8as2zk/NDOO.jpg)
BAADA YA KIPIGO CHA 4-0, EKOTTO AMTWANGA 'NDOO' MWENZAKE
Benoit Assou-Ekotto (kulia) akimsogelea mwenzake Benjamin Moukandjo baada ya kipigo cha 4-0 kutoka kwa Croatia usiku wa kuamkia leo. Benoit Assou-Ekotto akimtwanga 'ndoo' Moukandjo.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10