Serikali yaendelea kuimarisha ukaguzi wa Ndani Wizara na Taasisi za Serikali
Mkuu wa Ukaguzi wa ndani toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw.Mohamed Mtonga akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu miongozo mbalimbali iliyolewa na Serikali ikiwa ni moja ya hatua za kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani katika Wizara na Taasisi za Serikali kote nchini ili kuongeza tija,kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara Hiyo Bi. Ingiahedi Mduma na kushoto ni Kaimu Mkaguzi mkuu wa ndani bW. Chotto Sendo.Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Wizara ya fedha na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya Nishati kuimarisha kitengo cha Ukaguzi Udhibiti Wizi Wa Umeme
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuimarisha Kitengo chake cha Ukaguzi wa wateja wa Umeme ili kubaini wateja wasio waaminifu wanaoiba umeme pamoja na kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wizara hiyo kubaini kuwa kuna upotezu wa Umeme wa asilimia 19 kwa sababu mbalimbali zikiwemo za uibaji umeme.
Wizara ya Nishati imesema kutokana na tatizo hilo la upotevu wa umeme linasababisha kurudisha nyuma maendeleo ya...
10 years ago
MichuziWizara ya Maendeleo ya Jamii yaendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi
10 years ago
MichuziSERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA NA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NDANI YA MAONESHO YA NANE NANE - LINDI
9 years ago
MichuziUJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
10 years ago
MichuziSOLUTION BLOCKS YAANDAA MIKUTANO ILI KUKUTANISHA NGO’S,TAASISI ZA KIRAIA NA TAASISI ZA SERIKALI KWA KILA MWENZI.
KAMPUNI ya Solution BLOCKS ikishirikiana na kampuni ya Anglo Gold Ashanti waandaa mkutano wa Alhamisi ya kila mwezi ili kushirikisha taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali kuzungumzia kuchangia katika maendeleo katika jamii.
Hayo yamesemwa na Makamo wa Rais wa Sustainability Aglo Gold Ashanti, Simon Shayo katika ufunguzi wa mkutano ambao umejulikana kwa jina la THURSDAY TALK uliofanyika katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10