Wizara ya Maendeleo ya Jamii yaendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imeendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi kujadili taarifa ya utafiti uliyofanyika katika mikoa 10 nchini kwa kushirikiana na Mtaalamu kutoka Chuo kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza.Mtafiti mwandamizi kutoka Chuo kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza Prof. Berry Percy Smith akiwasilisha taarifa hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Anna Maembe (katikati) akiendesha mkutano huo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzimkutano wa wadau wa maendeleo kutoka maeneo kame wafanyika leo mjini Singida
5 years ago
MichuziKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.
Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...
10 years ago
GPLMFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAENDESHA MAFUNZO KWA TAASISI WADAU WA USIMAMIZI WA SHERIA
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA TEKNOLOJIA YA USALAMA KUTOKA UJERUMANI NA TANZANIA ULIOANZA LEO
10 years ago
MichuziMfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.
9 years ago
MichuziWIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO
5 years ago
MichuziTAASISI YA BMF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII UMMY ASHAURI TUJIFUNZE KUISHI NA CORONA
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto, Ummy Mwalimu amewaasa Watanzania kujifunza kuishi na Corona kwani itakuwepo kwa miezi kadhaa hivyo maisha ni lazima yaendelee na uzalishaji mali uendelee huku wananchi wakiendelea kuchukua tahadhari kwa kufuata miongozo iliyotolewa na waudumu wa afya.
Ameyasema hayo leo Mei 14, 2020 jijini Dar es Salaam alipotembelea mafunzo ya waudumu wa afya ngazi ya jamii yanayotolewa na Wizara ya afya kwa ufadhili...