TTCL kuzindua Huduma ya 4G LTE kesho
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inazindua rasmi teknolojia ya Long Term Evolution (LTE) inayojulikana kwa jina la mtandao wa 4G. Awamu ya kwanza inayoanza leo siku ya uzinduzi itatoa huduma katika maeneo 11 Jijini Dar es salaam.
Maeneo hayo ni pamoja na Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay, Mwenge, Mbezi Tangibovu, Mbezi Exchange, Kunduchi Salasala na Wazo Tegeta. Awamu pili itakuwa kupeleka mawasiliano hayo katika maeneo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTTCL, TPRI kuzindua huduma ya kuhakiki viuatilifu kielektroniki
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano TTCL, Kezia Katamboi (kulia), akibadilishana mkataba na Kaimu Mkurugeni Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kudhibiti Visumbufu katika Ukanda wa Kitropiki (TPRI), Dk. Margaret Mollel baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya maandalizi ya kutoa huduma ya T- Hakiki ambayo ni maalumu kwa wakulima na wafugaji kuhakiki kwa njia ya simu viuatilifu vilivyosajiliwa.
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano TTCL, Kezia Katamboi (kulia), na Kaimu...
9 years ago
Michuzi
TTCL Yazindua Teknolojia ya 4G LTE


9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Tigo yafikisha upatikanaji wa huduma ya 4G LTE Dodoma
Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini kutoka Tigo Bw.George Lugata akimkabidhi Bw.Danson Kaijage kushoto laini mpya ya 4G LTE katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE, katikati ni Territory Meneja wa Dodoma, Singida na Kondoa Bw.Innocent Anthony kutoka Tigo jijini Dodoma.
-Ni baada ya kuanza kutoa huduma...
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Huduma ya 4G LTE yapiga hodi mikoa mitano
10 years ago
GPLTIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA INTERNET YA 4G LTE
10 years ago
MichuziSMILE COMMUNICATIONS YAPANUA HUDUMA MTANDAO WAKE WA INTANETI YA 4G LTE KUFIKIA MIJI SABA TANZANIA
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
TTCL kuimarisha huduma za intaneti
KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imewashawishi Watanzania kuendelea kutumia huduma zake mwaka 2014, huku ikiahidi kuimarisha huduma katika sauti, data na intaneti. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana...
10 years ago
Michuzi12 Jun
TTCL Yakabidhi Mradi wa Huduma za Mawasiliano TBL


11 years ago
Michuzi
TTCL YAZINDUA HUDUMA YAKE MPYA YA BWERERE.

