TTCL YAZINDUA HUDUMA YAKE MPYA YA BWERERE.
Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo TTCL,Bwa.Peter Ngota akionesha kipeperushi chenye taarifa mbalimbali kuhusiana na huduma yao mpya iliyojulikana kwa jina la Bwerere,Kwa waandishi wa habari,huduma hiyo imezinduliwa leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ndani ya Ofisi za kampuni hiyo,zilizopo makao makuu mtaa wa Samora Jijini Dar. Baadhi ya Wandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa huduma mpya ya TTCL iliyojulikana kwa jina la Bwerere ,kwenye moja ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKAMPUNI KONGWE YA MAWASILILIANO TANZANIA (TTCL) YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
5 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzihuduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Airtel yazindua huduma mpya
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza rasmi huduma ya kisasa ya kifedha kupitia huduma ya Airtel Money. Huduma hiyo mpya ya kibunifu itatoa uzoefu tofauti wa huduma za...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Bayport yazindua huduma mpya
TAASISI ya kifedha ya Bayport Tanzania imezindua huduma mpya ya mikopo ya bidhaa ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni zilizoidhinishwa na...
11 years ago
Mwananchi03 May
Tanesco yazindua huduma mpya ya malipo
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Google yazindua huduma mpya ya simu
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SWITCHON
9 years ago
MichuziBayport yazindua huduma mpya ya Jibayportphonishe
Na Mwandishi Wetu, Dar es...