Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet

Ofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania Bw. Karim Bablia aelezea huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet katika banda lao kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Juni 30, 2015

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL yakutanisha wateja wake Dar kupata mrejesho wa huduma

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza katika hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu na kupata maoni ya wateja wao jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel. Tukio hili ni mwendelezo wa Wiki ya Huduma kwa wateja wa Kampuni ya simu ya TTCL iliyozinduliwa hivi karibuni.Baadhi ya wateja, wafanyakazi wa TTCL wakibadilishana mawazo kwenye  hafla fupi iliyowakutanisha baadhi...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma mpya ya mitindo kwa njia ya simu kwa kushirikiana na Mbunifu Mahiri Afrika Mustafa hassanali.

 Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake kupitia simu zao za  mkononi za Airtel  kwa kupiga *148*82# na moja kwa moja utakuwa umeunganishwa na huduma hiyo na kutozwa shilingi 90 za kitanzania kwa siku.Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano, imeshirikiana na mbunifu wa mitindo Afrika ,Mustafa Hasanali...

 

10 years ago

Michuzi

Smile wazindua huduma mpya ya internet

Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Smile Communications,Linda Chiza (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua huduma mpya ya SmileOn itakayomuwezesha Mteja wa Smile kutumia huduma ya Internet hapa kama kifurushi chake kikekwisha.kushoto ni Afisa Mkuu wa Utendaji na Miradi,Athuman Ibrahim Nzowa na kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja,Gabriel Ndobho.

 

10 years ago

GPL

TIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA INTERNET YA 4G LTE

Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo wa 4G LTE baada ya kupata maelekezo ya awali kutoka kwa wafanyakazi wa Tigo. Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo…

 

11 years ago

Michuzi

TTCL YAZINDUA HUDUMA YAKE MPYA YA BWERERE.

 Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo TTCL,Bwa.Peter Ngota akionesha kipeperushi chenye taarifa mbalimbali kuhusiana na huduma yao mpya iliyojulikana kwa jina la Bwerere,Kwa waandishi wa habari,huduma hiyo imezinduliwa leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ndani ya Ofisi za kampuni hiyo,zilizopo makao makuu mtaa wa Samora Jijini Dar.  Baadhi ya Wandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa huduma mpya ya TTCL iliyojulikana kwa jina la Bwerere ,kwenye moja ya...

 

5 years ago

Michuzi

Tulonge Afya yazindua kipindi cha Uelimishaji Vijana Kwa njia ya Televisheni (Luninga)

· Kiitwacho Washa Kideo na SITETEREKI, kinalenga kufikia zaidi ya vijana milioni 20 nchini
· Lengo ni kusaidia vipaumbele vya kimkakati kwa vijana wa Serikali ya Tanzania
Ili kukabiliana na changamoto za COVID-19 ambazo zimeathiri shughuli mbali mbali Nchini Tanzania, Programu ya USAID Tulonge Afya imezindua kipindi maalum cha TV cha moja kwa moja (yaani live) "Washa Kideo na Sitetereki" kipindi ambacho pia kitakuwa kikirusha moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii. 
Malengo ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema, CCM wachuana matangazo ya televisheni

Vyama vya Chadema na CCM vimeingia katika mchuano wa kuwania nafasi ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya kampeni za wagombea urais katika televisheni Jumamosi hii.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani