TTCL YAJIVUNIA KUWEZESHA MKUTANO WA SADC KUFANYIKA KWA NJIA YA TELECONFERENCE
![](https://img.youtube.com/vi/mm0igd0To_Y/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTTCL YAWEZESHA MKUTANO WA SADC KUFANYIKA KWA 'VIDEO CONFERECE'
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8fMqaxjTzvU/Xmeeh8dLqwI/AAAAAAALic0/Z8RFcC-Jjvc8qBMYZdUMrXdY0_xHhq57ACLcBGAsYHQ/s72-c/1A-1-768x512.jpg)
Majaliwa Kufungua Mkutano wa Mawaziri SADC kwa Njia ya Video
![](https://1.bp.blogspot.com/-8fMqaxjTzvU/Xmeeh8dLqwI/AAAAAAALic0/Z8RFcC-Jjvc8qBMYZdUMrXdY0_xHhq57ACLcBGAsYHQ/s640/1A-1-768x512.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Kanali Wilbert Ibuge akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Mabadiliko ya mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC utakao fanyika kwa njia ya Mfumo wa Video kufuatia mripuko wa ugonjwa wa Corona (COVID-19) ambao kwa sasa umeikumba nchi ya Afrika ya Kusini ambayo pia ni Nchi mwananchama wa Jumuiya ya SADC.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/2-27-1024x768.jpg)
Naibu Katibu Mtendaji wa Maswala ya Ushirikiano wa Kikanda (SADC) Thembinkosi Mhlongo...
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC KWA NJIA YA VIDEO
5 years ago
MichuziVIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC SASA KUFANYIKA KWA NJIA YA VIDEO KUEPUKA KITISHO CHA KUSAMBAA KWA VIRUSI VYA UGONJWA WA CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii
NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika( SADC) zimechukua hatua ya vikao vyake kikiwemo cha Baraza la Mawaziri katika nchi hizo kufanya vikao kwa njia ha Video ikiwa ni moja ya mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa Corona ( CODIC -19 ).
Akizungumza leo Machi 10 mwaka 2020 ,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge amesema kuwa hatua hizo zimetokana na ushauri uliotolewa katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Q8E2rqKaCpU/XotBUGGKerI/AAAAAAALmNg/mG914dTE_wAjTGnyq7xuAIG-ZkdGlUf2QCLcBGAsYHQ/s72-c/1-10-2048x1342.jpg)
Mkutano wa Dharura wa Maafisa Waandamizi wa SADC kuhusu Covid-19, wafanyika Dar kwa njia ya Mtandao (video conference)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Q8E2rqKaCpU/XotBUGGKerI/AAAAAAALmNg/mG914dTE_wAjTGnyq7xuAIG-ZkdGlUf2QCLcBGAsYHQ/s640/1-10-2048x1342.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali. Wilbert Ibuge akiendesha Mkutano wa dharura kwa njia ya video ambao unawahusisha Maafisa Waandamizi Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu mwenendo ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona (Covid-19), mkutano ambao umefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/2-6-scaled.jpg)
5 years ago
MichuziMKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA MAAFA WA SADC KUFANYIKA ZANZIBAR
Na Khadija Khamis Maelezo Zanzibar .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed amesema Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Kukabiliana na Maafa wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unatarajiwa kufanyika Zanzibar katika Hoteli ya Madinat al Bahr Februari 18,2020.
Hayo ameyasema huko katika Ukumbi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ( ZBC. TV) Mnazimmoja wakati akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-w6eLjw-DUPY/Xm-I6ukTTjI/AAAAAAAC8lc/l0pMVK0sqfwVOa-kkfJNDhyJT_JUZVg-ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Teknolojia Yawezesha Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa SADC Kufanyika Kuepuka COVID-19
Akizungumza...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/1PpUOAHVOkE/default.jpg)
huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet
9 years ago
StarTV16 Dec
TPDC latoa Sh. Mil. 10 kuwezesha Upatikanaji Maji Safi Njia Nne
Shirika la Maendeleo la Petroli TPDC limetoa shilingi milioni kumi za kuwezesha upatikanaji wa maji safi kwenye kijiji cha Njia Nne kinachopitiwa na bomba la gesi.
Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Abdallah Kihato ameagiza mradi huo kutotekelezwa kisiasa akiahidi kuchukua hatua kali dhidi ya matumizi yasiyo ya muhimu ya fedha hizo.
Kijiji cha Niia Nne kinapitiwa na mradi wa bomba la gesi linalotoka Mtwara hadi Dar es Salaam kwa kilomita nne.
Mkuu wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani ameonya kuhusiana...